Ndugu.Hakuna cha utofauti wa kampuni 3+ ni sawa na over 2.5 magoli yawe zaidi ya mawili
Code please?
1bet ina option nyingi kweli ils sasa naona kwangu inanikataa...princess naona kidogo afadhali ila awana mech kama za 1bet apo ndo nataman kurud ila nikifkiria vipigo nachokaWe upo kama mimi mana hata mi nilikua natumia m-bet nikibet tu naliwa lakin nikienda premeir bet nakula mimi! Kuna nyingn naona zina mkosi na watu. Sasa huku 1X bet nakaribia kuhama maana sili hlaf wengn wanakula kama pipi naona wao wanaona kuna unafuuu huko 1xbet akat wengn inatukataaa
Sikucheza chochote naona Mrusi tu kaamua kukunjua roho.ulicheza kwenye odd za kuanzia 1.1? kama mashart yao au kakulipa tu?
1xbet hawana shida kihivyo mkuu, nahisi kwa kuwa wao wanazingatia sana vigezo na masharti ambavyo sisi wabongo hatutaki kuviona wala kuvijua ndio maana tunaona kama wanazingua.Mbona mnanitisha, Sportpesa wako shallow mno, option zao chache sana wanachagua mechi ila malipo wako vizuri mno.Nimehamia 1xbet naona wana option nyingi sana,sasa kama habari ndo kama hii mbona naanza kuogopa.
Ligi ya wap hi mkuu
Inaelekea alibamizwa sana[emoji2] [emoji2]Sikucheza chochote naona Mrusi tu kaamua kukunjua roho.
Watu wanasikilizia wakina barca wacheze waweke mzigo[emoji2] [emoji2]
Mkuu code?