Mkuu unatumia acount ya bank gan, i mean kudepost na kuwithdrwMi natumia 1xbet iko NJEMA.
Tatizo lipo kwa maagent wa payment huku bongo (MLIPA) huwa hawappkei SIMU ukiwa NA tatizo.
Mkuu unamda gani tangu uanze kubet?Mkuu unatumia acount ya bank gan, i mean kudepost na kuwithdrw
Asante mkuu umekua ukiokoa jaaz*3 ODDS CHALLENGE DAY 6/15*
[emoji68][emoji335] *Z6VMJWYF* [emoji1015][emoji1015][emoji219][emoji219]
2367
Russia - Sweden
1X & Under(4.5) DC & O/U 4.5
1.36
1826
Hong Kong - Thailand
1 or Un(3.5) Chance Mix 3.5
1.22
5896
Congo - Liberia
2-&2- Y Total1H/2H
1.16
8432 International Friendly Games
France - Iceland
1+&1+ Y Total1H/2H
1.40
8431
Wales - Spain
X-10min 1X2-10min
1.13
MULTIPLE
[emoji73] *QUEENBEE*[emoji767]
*Odds3.04*
aisee pesa nje njesportpesa
malipo mechi ikiisha tu.
odds za double chance 1.15 mechi 3 kwa 30,000
unapata 45,000-30,000=15000 cheza mara 4 =60,000
wajanja tunayo GRISI vyuma vyalegeaaisee pesa nje nje
Sasa nikopeshe mtaji bosswajanja tunayo GRISI vyuma vyalegea
Ilikua total or individual total mkuu?Emb naombeni namna ya kuwasiliana na premier bet ambayo wanarespond maana nina kamkeka changu uchwara kametik ila wamekapiga red au labda na mm sielew amb mnisaidie pia na nyie wadauView attachment 894107
INJE? we ni mbena? Mkinga? Au Muhehe?Wazee wa mizigo niajee.
naombeni experience zenu, ni kampun gan nzuri ya inje inafaa kujisajiri kwa kubet, nataka kujua hasa mambo kama
uhakika wa kuwithdraw upoje, ndani ya masaa mangapi pesa imeingia kwa account
Bank gani hapa inchin ni nzuri kwa michakato hiyo ya account za $
Ili kujoin vitu gan hasa vya kuzingatia kuepusha usumbufu wa kudepost na kuwithdraw
Wakuu mm naamin katika game chini ya tatu, mzigo mkubwa, naamin katika kuweka mzigo mkubwa return kidogo, inapunguza risk ya kupigwa, siamini katika jamvi la jero kutafuta laki 5.
Share izo ticket unazo piga lak8 mpka M nikupe mwongozo wa kujiunga na bet365 ama betfair za UK!.Mkuu napiga GSB na mcheza na premia nikichomaanisha nataka kanpuni za inje zinazotumia USD,
Huwa nina wastani wa kupiga lak 8 hadi m kwa mwezi, hua nacheza game moja ama mbili kwa siku, football na basket pia, dau langu daily natupia 200,000 , odd zangu ni kati ya 1.20 hadi 1.30 kwa game zote mbili.
So natengeneza wastani wa kupata 25,000 hadi 40000 kwa siku.
Kwenye basket mara nyingi nachukua no overtime kwa game 3.
Ilikuwa total kiongozIlikua total or individual total mkuu?