Pia ni vyema ukutumia benki zisizo local itafaa zaidi.Jana nimeuliza ila sijapewa majib
Habar za saa hz wadau
1xbet aisee ni bonge moja la kampun
Toka niijue nimeachana za kibongo maana kula hela huku ni rahisi sana kula kampun zingine kutokana na kumpa mteja option nyingi za kubet
Sasa mm nauliza kuna ambaye ana deposit na kuwithdraw kupitia visa master card
Je ukitumia master card hakuna usumbufu wowote
Na bank gani ambayo ndo itafaa zaid
Maana nataka niachane na Mlipa
Naomba msaada wa maelezo
Kweli kabisa mkuu,Airtel ukikosea inarudishwaAirtel money wana mfumo mzuri sana wa kudeposit hela kwenda 1xbet.. Wao muamala ukigoma wanarudisha hela papo hapo na kukwambia ujaribu tena.
Ukifuatilia wengi wanaolalamika humu ni Tigo na voda lakini Airtel haitokei kabisa kwa kuwa wameimarisha sana mfumo wao wa deposits and withdraw.
Yapo banaaa1xbet wamekuja kuwaje... Sioni malipo ya voda tigo wala airtel.. Masaa matatu sasa.... Sijui ndio tumepigwaaaaaaa
Mkuu mimi nina mwezi sasa sipati msg ya Beyonic na nina deposit bila matatizo natumia mtandao wa Tigo na sijawahi pata tatizo loloteMm nimedeposit kupitia app naona hawajaleta ile text ya beyonic mishastukia chezo sifanyi muamala tgo pesa mama£
1xbet wamekuja kuwaje... Sioni malipo ya voda tigo wala airtel.. Masaa matatu sasa.... Sijui ndio tumepigwaaaaaaa
Hakika haingii akilini kununua odds
Hapana!!! maximum stake haibadiliki, labda unazungumzia payout. Hiyo ndio inabadilika k utokana na wingi wa ODD. Kwa maana nyingine kama ulikuwa unaongeza mtaji kidogokidogo bila kutoa na ukiwa na malengo ya kifika mbali. ukifika hapo lazima ukwame, labda ukitaka pay out iongezeke ni kuongeza idadi ya odd au timu ambayo ni risk, na malengo ya uwekezaji huo hayatatimiaNadhan kiwango chao kinachange kutokana na idadi ya team ulizoweka...maximum stake ya team mbili aiwez kuwa sawa na maximum stake ya team tano...kadri unavoongeza team ndivyo stake inavoongezeka
Kwanni mkuuHuyu France anataka kuniletea uhuni mimi
[emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817]Hakika haingii akilini kununua odds
Asante sana mkuu pdidy... Mungu akujaalie afya na uwe ni mwenye kufanikiwa katika kila jambo la kheri! Akufanyie wepesi katika yale yote yaonekanayo magumu. Amen!