Wakuu nlisikia premier uki withdraw pesa weekend haitoki, ni kweli?
Fedha ya Bonus acount naibetia vp km unajua
Unachezaje, kuchukua b sita za mrusiBILLION 6 ZIPO TU ZINABEMBEA KWA MRUSI
View attachment 896598
Shukrani mkuuMkuu inategemea na kiasi unachowithdraw. Mimi niliwahi kuwithdraw laki ikatoka immediately. Nadhani ukiwithdraw pesa nyingi mpaka usubiri approval ya admin siku ya jumatatu. Ndicho nafahamu mimi mkuu.
Muogope uyo Senegal, Wasudani hawtabiriki MkuuLeo mhindi lazima alipeView attachment 896626
Senegal lazima ashinde yupo nyumbani kwake mzee. ...Muogope uyo Senegal, Wasudani hawtabiriki Mkuu
Ni kweli 1xbet kuna matatizo kwenye miamala ya hela japo ndiyo kampuni pekee ninayoitumia kwasasa kwa zaidi ya mwaka mmoja.
Mwezi February mwaka huu nilideposit 49,000/= imepotelea tu hewani.... Nimeifuatilia sana bila mafanikio mpaka leo hapa ninapoandika kuna 35,000/= nyingine Ina wiki moja nayo ni danadana.
Nafikiri kuna umuhimu wa wadau kuungana ili kufuatilia hizi fedha zinazopotea hewani tu ikiwezekana kuiona mamlaka husika inayojihusisha na miamala ya mitandaoni.
Siyo Bure, lazima kuna namna hizi miamala inafanyiwa uhuni. Ni pesa ndefu sana.
Watu wanalalamika kama sehemu ya kutoa hisia zao wewe n nani kutumia nguvu na kuwatisha watu wanapoonyesha kutokuridhika na huduma katika kampuni fulani.
Mfano mm nmedeposit toka jmosi kupitia hyo kampuni 1xbet kwa namba ya airtel hela haikuingia baadae nikawasiliana na watu na mtandao wa airtel wakaniambia hela itaingia baada ya masaa 72 mpaka sa hizi hela bdo haijaingia kwny account.
Nasititiza sijaanza kutumia hyo kampuni hii leo karibu namaliza mwaka