little finger
JF-Expert Member
- Oct 13, 2018
- 394
- 998
kwel kabisaAseee Ligi zirudi tu
Nasubiri nikufate mkuuPamoja mkuu
Amelipa kweliLeo mhindi lazima alipeView attachment 896626
Aseee Ligi zirudi tu
Bora ligi kuu zianze tu maana hizi ligi za mchangani zinaumiza kichwa.bora ligi zianze tuu maana duuuu
Inachezwa lini hiyo game?View attachment 897625waliofuata hapa match moja iliahirishwa
mkuu ni IN Play amaKwel wanasema bet kistaarab...jana nilianza na mtaj wa buku,had ukafkia elf 78..sasa zile match za usiku,akina germany etc,...ndo zkanifilisi,yaan niliporomoka toka elf78 had sasa nacheza wajapan hawa asubuh nna mia7 tuu,jinsi nilivyoporomoka,yaan hapa et nawaza niweke buk10 nianze tena..
Nilichoamua sasa,..nkifikisha zaid ya elf 50 na kuendelea,hzo za ziada natoa nabak na elf50,hii imeshanitokea zaid ya mara 4 now sikomi.
Every game has rules wakuu,tu bet kistaarab
Betting kama ngada tu ukiwa na salio kwenye akaunti yako utalitumia mpaka liishe ndio utaacha kucheza, me jana pia nilimaliza kila kitu leo hapa natoa macho tu kama mjusi kabanwa na mlango.Kwel wanasema bet kistaarab...jana nilianza na mtaj wa buku,had ukafkia elf 78..sasa zile match za usiku,akina germany etc,...ndo zkanifilisi,yaan niliporomoka toka elf78 had sasa nacheza wajapan hawa asubuh nna mia7 tuu,jinsi nilivyoporomoka,yaan hapa et nawaza niweke buk10 nianze tena..
Nilichoamua sasa,..nkifikisha zaid ya elf 50 na kuendelea,hzo za ziada natoa nabak na elf50,hii imeshanitokea zaid ya mara 4 now sikomi.
Every game has rules wakuu,tu bet kistaarab
watarefund hiyo match nadhani tutalipwa kwa game zilizobakiInachezwa lini hiyo game?
And that is after seventy something hours au within 24 hours!watarefund hiyo match nadhani tutalipwa kwa game zilizobaki
but odd itarudi kwenye 2+ nadhani