Nishapuruniwa sana ela kwa iyo njia kukosa game moja moja tuNajaribu kuacha kubet kwa sababu ya u... Shenz huu View attachment 898500
DuuuuhNishapuruniwa sana ela kwa iyo njia kukosa game moja moja tu
Naona kaangaliwaa yy zaidApa cjui mungu ampendelee nan[emoji23][emoji23][emoji23]
Imetoa mkuu japo kwa mbinde 90+2' au ulimpa over?ITALY vo Leo wakuu
Elfu kumi?Wakuu naombeni buku10
Ndio mkuu nimeporomoka sana kimtajiElfu kumi?
Weka mawasiliano(kikapu) hapo wenye chochote watawekaNdio mkuu nimeporomoka sana kimtaji
Unanisaidia mkuuWeka mawasiliano(kikapu) hapo wenye chochote wataweka
Mkuu Mimi si mcheza kamari , nimeshtuka unavyoomba assist ya 10 ubetieUnanisaidia mkuu
Sasa unafanya nn uku wababa wanaelewa namaanisha nnMkuu Mimi si mcheza kamari , nimeshtuka unavyoomba assist ya 10 ubetie
Zmetick? nliufata kwa buku 3Wewe jamaa ni Mnyama mno, umetisha asee