Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hiv naweza kuweka pesa sportpesa kwa mtando mwingine mfano sportpesa nimejiunga na airtel nataka kuwekapesa kupitia voda inawezekana
 
Hamia Premierbet mkuu....hawana longolongo hata kidogo.
 
Wale waliofWata na kuifanyia marekebisho madogo wametusua, wale waliofWata mkukumkuku kama mimi, tumeisoma namba:

 
Mkuu naomba unitumie Record's za Muhamala wako Niende ofisi za MLIPA warudishe hela Zako...Please nitumie Inbox
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…