Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nimetoa pesa 1xbet tangu saa 1 asubuhi mpaka sasa Haijafika... Hawa jamaa wameanza kuwa wazinguaji.... Pumbafu zao kabisa
 
Nimetoa pesa 1xbet tangu saa 1 asubuhi mpaka sasa Haijafika... Hawa jamaa wameanza kuwa wazinguaji.... Pumbafu zao kabisa
Wengine tuna siku Nne hazijafika..
Uzuri wa Tatizo linapomkumba mwingine Unaona wewe halikuhusu.Muda sio mrefu tutaanza kuongea Lugha moja kuhusu Hawa MLIPA..
Kuna Tatizo kubwa kwa Hawa Mlipa.
 
Get rid of M-LIPA [emoji23][emoji23][emoji23] wataelewa tu View attachment 899119
Nawasilianaje na hao mlipa.... Mama zao nimevuta mpunga tangu saa1 asubuhi mpaka sasa haujafika ni ungese. nawasiliana na 1xbet majibu yao nayo utata utata mtupu. Mara wameshalipa nisubiri partner wao anidepositie mara tunapata system payment failure. Full makorokocho... Naomba namba za hao mlipa nao niwavae
 
Baada ya kuwatumia details zote walozohitaji ndio wamenijibu hivyo.
Ngoja nivute subiraView attachment 899099
Wamenijibu hivyo hivyo... Mpaka sasa Kimya ndio Nimeanza kuruka nao majoka upya... Yani nimeifuga Pesa wiki 3 nainenepesha tu Naikuta watu wapite nayo kiboya... Ujinga huu
 

Attachments

  • Screenshot_20181015-203201.png
    25.7 KB · Views: 31
Mkuu leo tatizo lipo kwa 1x hawacomfirm transaction! Angalia transaction ulio ifanya kawa iko confirmed na operator wa 1x basi ni halali kuwavaa Mlipa!
 
Daah Mkuu nahisi kuna Uhuni unataka kufanyika.Mbona Matatizo ni kwenye Malipo tu?

Mimi nina tatizo kama lako na pia Airtel Money tokea Jumamosi ya tarehe 6 hela haijaingia nilipofanya deposit mpaka leo haijarudishwa.

Kesho Naenda Ofisi za MLIPA Wanilipe hela zangu Mannually Aisee.Nionane na Meneja/boss wao.
Wamenijibu hivyo hivyo... Mpaka sasa Kimya ndio Nimeanza kuruka nao majoka upya... Yani nimeifuga Pesa wiki 3 nainenepesha tu Naikuta watu wapite nayo kiboya... Ujinga huu
 
Hawa M-BET waseng kwel nimetoa hela lakini cha kushangaza mpaka hv xaxa aija ingia kwenye account yangu ya m-pexa
 
Wengine tuna siku Nne hazijafika..
Uzuri wa Tatizo linapomkumba mwingine Unaona wewe halikuhusu.Muda sio mrefu tutaanza kuongea Lugha moja kuhusu Hawa MLIPA..
Kuna Tatizo kubwa kwa Hawa Mlipa.
Hawa jamaa tangu asubuhi nawapigia simu hawapokei, wanakera sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…