Nasubr nyngne utakayo wekaMbona iko juu hapo
Refunded[emoji42] [emoji42]Boooooom
Pole mkuu naona umepokea buku [emoji38][emoji38]Perffect 12 ya jana hiyo nasubiri malipo.....10/12 [emoji123][emoji123][emoji123]View attachment 898776View attachment 898777View attachment 898778View attachment 898779
jamaa wa m-bet kuna umafia anawafanyia wateja wake ipo siku yatajulikana tuPole mkuu naona umepokea buku [emoji38][emoji38]
[emoji23]Mzee zile idadi za walioshinda na kula bonus ni hatari mkuujamaa wa m-bet kuna umafia anawafanyia wateja wake ipo siku yatajulikana tu
Get rid of M-LIPA [emoji23][emoji23][emoji23] wataelewa tu View attachment 899119
jamaa atakua anachomeka na idadi nyingine isiyokuwepo aisee ![emoji23]Mzee zile idadi za walioshinda na kula bonus ni hatari mkuu
Na kwenye kutoa... Mpaka upate meseji gani Kutoka bayonic!!??? .... Nimetuma mara zote bila kusubiri iyo meseji ya bayonic na pesa zimefika... Tatizo pekee ni kwenye kutoa ndio nimekuta makandonandoInabidi uwe unasubiria mpk ile msg fulani y a beyonic ndo uweke pesa kabla ya kuipata hii pesa itapotea..
Mm nilipoteza mara mbili hivihivi nikajifunza..
Daah Mkuu nahisi kuna Uhuni unataka kufanyika.Mbona Matatizo ni kwenye Malipo tu?
Mimi nina tatizo kama lako na pia Airtel Money tokea Jumamosi ya tarehe 6 hela haijaingia nilipofanya deposit mpaka leo haijarudishwa.
Kesho Naenda Ofisi za MLIPA Wanilipe hela zangu Mannually Aisee.Nionane na Meneja/boss wao.
Haujaona malalamiko ya wateja wa tigo Pesa na airtel money labda..... Rudi nyuma uone... Partner anayeconect 1xbet pamoja nasi wote hao akiwemo na voda ni MLIPA ... Tatizo lipo kwa hao sio hawa wa simuRecommended methods. Mpesa hawajaiweka kwenye recommended methods.View attachment 899294
Unawez ku withdraw kwa ku2mia mtandao mwngne hata kama sio namba ulotumia kusajil
M bet ni wezi achaneni na hiyo kampunijamaa atakua anachomeka na idadi nyingine isiyokuwepo aisee !
Pole mkuu naona umepokea buku [emoji38][emoji38]
[emoji23]Mzee zile idadi za walioshinda na kula bonus ni hatari mkuu
jamaa atakua anachomeka na idadi nyingine isiyokuwepo aisee !
Achana na perfect ya mbet bet kawaida hizi perfect nahisi kuna namna flani wanafanya palejamaa wa m-bet kuna umafia anawafanyia wateja wake ipo siku yatajulikana tu
Mkuu SKU izi mkeka jackpot hakuna toka July sjui kafilisika ila mm nishawahi Kula laki na ushee wako poa ila si perfect 12 ya Jana niuongoPale kiukweli kuna usanii mkubwa nimegundua.....narudi zangu mkeka jackport
PrincessbetSEMA MZEE IYO KODI YA 20% SPORTPESA UNA NYONYWA SANA
PREMIER BET & PRINCESSBET UNGE BEBEA MZIGO WAKO WOTE HUO EMBU WAHAME AISEE