Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Huku sasa ndo tunaita kuitest hela yako halafu ikikwama tunaanza kuwalaumu watu wkt mengine tunayajaribu sie wenyewe

Kwanini msimshauri akabadili namba ktk utaratibu wa kawaida kuliko hicho mnachomuelekeza?
Namba unayoweka pale ndiyo itatumika kuamisha pesa. Hakuna haja ya kubadili namba aliyosajilia.
 
Namba unayoweka pale ndiyo itatumika kuamisha pesa. Hakuna haja ya kubadili namba aliyosajilia.
Naam kaka nimejaribu kudeposit kwa no ya tigo na imekubali ingawa nimejisajili kwa Voda....shukrani wadau
 
Naomben msaada namba ya m-lipa ya watsap niliweka 4500 1xbet siku ya tano sasa haipo..
1xbet wanasema niwasiliane na mtandao wangu maana kwao topup
 
Bado Mkuu..So far nimepata mrejesho wa watu 3 tu Inbox wenye matatizo Sugu ya kutorejeshewa Fedha zao.

Nahaidi kwenda na Nitaleta Mrejesho hapahapa..
Nisaidie namba za hao mlipa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…