Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Cameroon kwishney,tim hata kona haipig halaf et wanawish watoboe
Jana walinichania mkeka wangu england yaan mpira mpaka unaisha spain kona 12 england hajapiga hata kona moja na nilikuwa nahitaj kona zake mbili tu bas, niliwaporomoshea mitusi yote mpaka naenda kualala.
 
Daah,,acha tuu

Inplay jana kweny corner england ndy nilimfata hasa kipind cha pili kuona odd zimeshapanda panda hlf kama walikua wanashambuliana kias, nikajilipua, akasepa na 20 yangu
 
Hovyo sana wale wajukuu wa malkia me niliweka special bet ya under 5goals kwa kila timu, over 1 card kwa kila timu na over 2 corners kwa kila timu nikatia 10k safi kabisa bas mpaka mwisho nilitaman niingie uwanjan nikafos hizo kona mbil za england maana ndio zilibak lakin dah mrusi kiubwede kabisa akazama na 10 langu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…