Kiminyio 01
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 1,399
- 2,040
Ukicheza live betting naona possibility ya kula ipoTupoooo
KwelUkicheza live betting naona possibility ya kula ipo
Hapo kwa Ireland na Wales utaumia mkuu!Longtime sijaingia huku baada ya kuliwa pesa nyingi, ebu nishaurin wakuu huo mkeka nitupie au
View attachment 900135
Ukicheza live betting naona possibility ya kula ipo
Leo nimeliwa mikeka yote kila nkibet napigwa mpk roho inataka kutoka
Bet WonNimetoka hv. View attachment 899881
Leo nimeliwa mikeka yote kila nkibet napigwa mpk roho inataka kutoka
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Pole sana aisee me pia leo niliamka hasubuh nina kama buku 2 tu kwenye accnt nikachezacheza viinplay vya hapa na pale mpaka kufikia saa nikapata elfu 18 nikanogewa nikaendelea kufikia saa 7 nikabakiwa na sh 650 nikajivuta nayo mpaka jion taifa starz wanafunga goli la kwanza nikafikisha sh elfu 14 utamu ukazid nikaendelea bas mpaka mpira wa starz unaisha kwenye accnt nimebakiwa na sh 0.95 hapa mimacho imenitoka kama nimefumaniwa.
FT - Draw 3+Leo nimeliwa mikeka yote kila nkibet napigwa mpk roho inataka kutoka
Nakufata mkuuNafunga Siku hapaView attachment 900180
Hahahahaha akaunti imekaukaaaaaa hii wacha inipite ntabet nikipata helaFT - Draw 3+
View attachment 900183
Leo nimeliwa mikeka yote kila nkibet napigwa mpk roho inataka kutoka
Una pepoo we s bure kuacha jeeePole sana aisee me pia leo niliamka hasubuh nina kama buku 2 tu kwenye accnt nikachezacheza viinplay vya hapa na pale mpaka kufikia saa nikapata elfu 18 nikanogewa nikaendelea kufikia saa 7 nikabakiwa na sh 650 nikajivuta nayo mpaka jion taifa starz wanafunga goli la kwanza nikafikisha sh elfu 14 utamu ukazid nikaendelea bas mpaka mpira wa starz unaisha kwenye accnt nimebakiwa na sh 0.95 hapa mimacho imenitoka kama nimefumaniwa.
Hahahah...Daah!Pole sana aisee me pia leo niliamka hasubuh nina kama buku 2 tu kwenye accnt nikachezacheza viinplay vya hapa na pale mpaka kufikia saa nikapata elfu 18 nikanogewa nikaendelea kufikia saa 7 nikabakiwa na sh 650 nikajivuta nayo mpaka jion taifa starz wanafunga goli la kwanza nikafikisha sh elfu 14 utamu ukazid nikaendelea bas mpaka mpira wa starz unaisha kwenye accnt nimebakiwa na sh 0.95 hapa mimacho imenitoka kama nimefumaniwa.