mr.general
JF-Expert Member
- Jan 21, 2014
- 990
- 618
Mkuu shukran sana nilofuata ila hiyo timu ya kwanza niliiitoa nikaacha.mbili tu kama zilivyoKweli no 1 amekuwa kimeo..bookmaker alikuwa anaumia
View attachment 901008
Mimi pia nilifata sema HT/FT nilimtanguliza away, thats football thoughMkuu shukran sana nilofuata ila hiyo timu ya kwanza niliiitoa nikaacha.mbili tu kama zilivyo
Me tokea nmeanza kutumia 1xbet, cjawah pata tatizo lolote. Au inategemea na ckuJamani leo 1xbet hakuna kutoa pesa maana nimejaribu mitandao yote fedha haiwekwi kwenye account
Naelewa sana izo issue zinashanitokea mara nyingiKimetokea juzi nimewarudshia 35 yao
Muda huu nimeweka stake ya 10k imekubali sasa sijui tatizo lako linasababishwa na nini. Pengine unaepushwa kupigwa mkeka huo kama vp potezea leo huenda kuna mwanaizaya anataka kutembea nao.View attachment 901124
wadau nauliza hili mara mbilimbili hamunipi jibu tangu asubuhi leo nikijaribu kuweka mkeka premierbet nikiweka dau la zaidi ya sh. 500 inanigomea(inanipa huo ujumbe kwny picha) ila nikiweka dau la 500 kamili au pungufu ndo inakubal je tatizo linaweza kuwa ni nini
kwangu inefunguka mbona badili browser labda au unatumia vpn?Hii imekaaje, 1xbet hawapatikani nchini? View attachment 901163
Chrome eeh? mimi mwenyewe imetokea hivyohivyo.Hii imekaaje, 1xbet hawapatikani nchini? View attachment 901163
Hii ni timu gani??maana mikeka yako huwa napata tabu sana kuizoom mkuu
KWANI LAZIMA UBETI UKO PUMBAVUView attachment 901124
wadau nauliza hili mara mbilimbili hamunipi jibu tangu asubuhi leo nikijaribu kuweka mkeka premierbet nikiweka dau la zaidi ya sh. 500 inanigomea(inanipa huo ujumbe kwny picha) ila nikiweka dau la 500 kamili au pungufu ndo inakubal je tatizo linaweza kuwa ni nini
Ilo sio jibuKWANI LAZIMA UBETI UKO PUMBAVU
Aisee!KWANI LAZIMA UBETI UKO PUMBAVU
Kwan awalipwi??WAKUU M LIPA WANAOTUSAIDIA KUMBE NI PERSONAL NAMBA ZILE KWAHYO WANASEMA WAKIWASAIDIA MUWE MNASHUKURU ATALEAST NA SIO KUWATUKANA KWANI WANAWEZA WASIWASAIDIE PIA
Ata cjui mkuu AF jamaa alikuwa ajui kama iyo ni kampuni lakubeti ndoakaanza uliziaKwan awalipwi??