Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu si umesoma lakin? Umesahau enzi za chabo? We kipanga mkuu Void ukijaza pepa lako acha wazi na sisi vilaza tuibie, ukileta pepa lako umetoboa wakati ulitubania kwenye chabo ndio hvi tena tunanuniana teh teh teh..
Mkuu Tehtehteh, watu wana stress. Anayenuna anune tu. Hili ni jukwaa huru sio lazima kila mtu acheke. Tehtehteh.
 
Tehtehteh Kama unatafuta ugonjwa wa moyo shauri yako.
Ahahaha sema nn mkuu nipo najaribu basketball hapa naona inatoa japo siijui kihivyo kama upo nondo huku uwe unazishusha hapa inplay maana naona zinatoka tu, wale maexpert wa basketball watakuwa wanamliza mrusi kinomanoma, aiseee.
 
Kwa style hii mkuu void no way, lazima tununiane, aiseee!
Hahaa uzuri betting ni ya kila mtu mm sijaifunga. Zama in play ibuka na ndoano tuletee wadau humu usije humu kulalamika na kulaumu wakati wewe huleti chochote. Mkuu ukimaliza kununa uniambie tehtehteh, Aisee.
 
Ahahaha sema nn mkuu nipo najaribu basketball hapa naona inatoa japo siijui kihivyo kama upo nondo huku uwe unazishusha hapa inplay maana naona zinatoka tu, wale maexpert wa basketball watakuwa wanamliza mrusi kinomanoma, aiseee.
Mm sio mtaalamu, Wapo ambao walikuwa wanaleta humu ila Kuna wakwamishaji wachache walianza kuibua lawama naona siku hizi sioni wakitupia. Mm mwenyewe nilikuwa nazifuata.
 
Mm sio mtaalamu, Wapo ambao walikuwa wanaleta humu ila Kuna wakwamishaji wachache walianza kuibua lawama naona siku hizi sioni wakitupia. Mm mwenyewe nilikuwa nazifuata.
Aisee hauwez amin zinatoa mkuu warud tu hao jamaa, hasa inplay ukigonga kwa quarter aiseee ziko vizur mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…