NkutmieKwenye play store ipo?
WoonWeka ndoanoView attachment 904481
Nilikuwa namwangakia tu wakati odds zake zinapandaDuuh Gamba osaka niliacha odd 13 hlf saiv naona kapindua matokeo
Sometimes inplay ndy inakua na bahat kama hivyo alaf ukute angalau umeeka hata 10 hvNilikuwa namwangakia tu wakati odds zake zinapanda
Ahsante Sana ndg Mungu akubariki nimefwata na Teni nimeondoa nuksi make nna siku yaa 4 hii naliwa tu sipati rangi ya kijaniWOOON MKAWITHDRAW.
WOOON please leta nyingine tunasubiri ndg
Hii pesa
View attachment 904533Asubuhi Tuuu nshapgwa 50000 ya fasta fasta aiseee 1xbet n Kboko
Vp tena mkuu unajiamini nn unapokuwa unacheza....apo kuna mawili kupiga na kupigwa lazima uwe makini unapocheza ndo maana wengine tumebakia tu kutoa macho uku ikitupiwa tu tunapita nayo
Duuuh nimepigwa na ganzi ghaflaDuuuuh aseeeeh ni shidaa ndani ya asubh hii!!!
Hiv ni hua wanaloga hiz kampuni ili mtu akoseee
Khaa
Mkuu pole sana 50 imeendoka mapema hivi siku inaonekana kwako si nzuri hii pumzika mkuu uwe mpenzi mtazamaji tu usifikirie kurudisha hizo pesa. Jipange kwa keshoView attachment 904533Asubuhi Tuuu nshapgwa 50000 ya fasta fasta aiseee 1xbet n Kboko
Vp tena mkuu unajiamini nn unapokuwa unacheza....apo kuna mawili kupiga na kupigwa lazima uwe makini unapocheza ndo maana wengine tumebakia tu kutoa macho uku ikitupiwa tu tunapita nayo
Jamaa atakuwa anacheza kamari sio biashara kama wengi tunavotegemeaDuuuh nimepigwa na ganzi ghafla
Duuuh nimepigwa na ganzi ghafla
Hama huna bahati nayo hiyoYan hadi nampango wa kuhama hii kampuni jana asubh wameniwasha 40000