Kuwa na amani mdada pesa yakoPole sana mkuu! Mimi labda juventus aniue ila Dortmund nimeruka kiunzi chake salama kabisa.View attachment 912962
Mkuu ni mbinu ya kawaida tu, ila sichezi normal wala double chance...Mkuu nipe mbinu unatumia option ipi?
Mmh mkuuyoung boys anaruka ruka tu kawekwa 2 ht
Kadi ipo mkuu utapataHuyu Refa anayechezesha mechi ya Celta vigo na Eibar ni mshenz sana mana hatoi kad. Watu tunaobet kadi tuna kazi sana. Celta vigo na mwenzake hamna kadi mpk saiv dakika ya 85 saiv na mm nataka over 1.5 cards na ni wao tu nasubr
Naona unampa moyo kweye akuna..[emoji23][emoji16][emoji3]Kadi ipo mkuu utapata
Naugulia na young boy kw kichapo cha 2Naona unampa moyo kweye akuna..[emoji23][emoji16][emoji3]
Wamefanyajweeeehao VfB Stuttgart wanachofanywa huko kale kadogo pavard katafute timu nimeogopa nkazipa mbwa za dortmund
4 bilaWamefanyajweeee
Kadi ipo mkuu utapata
Refa ubinadam umemjaaNaona unampa moyo kweye akuna..[emoji23][emoji16][emoji3]
Pole mkuu maama liver alikuwa mtu wa kimokoKuni mitimu injikuta inajua kufuuunga...yan nimempa liver un4.5 eti yamepitiliza mpaka sasa nipo tuu natoa macho yeye ndo kachana
hhahahaha pole kka mapambano yaendeleeKadi hakuna mkuu na mech imeisha. Huyu refa ni mshenz maana wachezaji wanacheza RAFU lakin hakutoa kadi; ye anaona ni fair akati watu tunaeka hela