Pole mjomba...Monaco hawa...View attachment 913202
"Deserved Loss".!!!!Monaco hawa...View attachment 913202
Rebound ni mpira uliorushwa na mchezaji kuelekea kufunga (kwenye rim) anapokosa unapogonga board ama rim akiudaka wa timu iliyotaka kufunga inaitwa(offensive rebound) pia akiu"tip" ukaingia kuwa goal inahesabika offensive rebound... Akiudaka timu iliyotaka kufungwa inaitwa(defensive rebound)..Hiv rebound ndio mipira ipi kwenye busket mkuu? Naitaman sana ila naishiaga tu kucheza over/under kwa quarter au game nzima, nieleweshe mkuu tafadhar.
Sawa vyovyote vile poa tu mi usiku huu tayari nshaingiza mpunga wa maanaHapo kwa man city weja over 1
Rebound ni mpira uliorushwa na mchezaji kuelekea kufunga (kwenye rim) anapokosa unapogonga board ama rim akiudaka wa timu iliyotaka kufunga inaitwa(offensive rebound) pia akiu"tip" ukaingia kuwa goal inahesabika offensive rebound... Akiudaka timu iliyotaka kufungwa inaitwa(defensive rebound)..
Asante ngoja tujaribuJameni ndugu zangu,
Mi sina roho ya ubahiri,wala uchoyo.
Huu hapa in mkeka wa kesho,tarehe 28/10/208. β 29/10/2018.
Nimeupost usiku huu ili wewe mwanabetting uuhakiki,uuchambue na kuuchukulie hatua.
Ni mkeka mzuri,wenye Odds 4+ najua,
Mtaalamu wa kubeti ushaelewa cha kufanya.
Najua keshokutwa utanifuata DM kunishukuru endapo Mungu akipenda.
Nawatakieni kila la kheri,View attachment 913161
Hapo kwa under new orliens pagumu msimu huu wanatupia vikapu balaaWale wa nba tupigen pesa hapa View attachment 913274View attachment 913276
Kweli broHapo kwa under new orliens pagumu msimu huu wanatupia vikapu balaa
Aisee eeeView attachment 913351
Izi timu zinazonekana km zinampa changamoto Psg kwny ubingwa Sio wa kuziamimi sijui zina hongwa hela utashangaa anafungwa goli 4+ bora hapo kwa ROMAMarseille win 6odds
Roma win 4.5 odds
Wahijizo play single
Keshooooppo