Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hiyo over una place match ikiwa dk ya ngapi? Na unaangalia vigezo gani kwamba match inauwezekano wa kutoa goli?
 
Mkuu mimi naona hiyo ndio strategy nzuri ya kuwa na winning nyingi kuliko kuweka 1,000 ule 10,000...Utakesha.

Binafsi kuliko kubet Timu 5 Sijui Odd 3+ bora nisibet Sababu nitakua namchangia Mrusi tu.Probability ya kuwin ni ndogo Ama hakuna kabisa.

Ila ikitokea amekubutua basi amekubutua kweli maana bahati mbaya zinatokeaga mkuu hiyo 70k ikipigwa mara 1 tuu hata kama umekula mara 10 mfululizo maana yake unaanza upyaa kabisa
 
Kwel mkuu siku ikigeuka Mrusi anasepa na kila kitu mpaka mtaji maana tabia ya betting kama hauna adabu kadri accnt inavyozid kujaa ndivyo na ww unavyozid kuweka stake kubwa ili upate faida kubwa bas ngoma ikipinduka mchele unakuwa umeingia mafuta ya taa hauliki tena.
Ila ikitokea amekubutua basi amekubutua kweli maana bahati mbaya zinatokeaga mkuu hiyo 70k ikipigwa mara 1 tuu hata kama umekula mara 10 mfululizo maana yake unaanza upyaa kabisa
 
Nmecheza timu 9 leo ila monaco pek yake kaniletea miMAVI

Mpigwe tuu na Mliwe kabisa mbali empty kabisa [emoji35][emoji35][emoji35][emoji35] kila siku mnatangaziwa Humu Monaco hafai mnaenda tuu kichwa kichwa hiyo ndo faida yake sasa na Muendelee kupigwa
 
Leo hakikisha hizi timu unaziweka kwenye mikeka yako ziko form mbaya.

Arsenal
Chelsea

Spal > huyu mbali ya kuwa anapoteza match lakini hapotezagi kizembe lazima nae apate walau goal moja. So waweza weka gg or home team to score/ over 0.5.
 
leo mbali na single nitacheza hivi kwa medium stake

Chelsea win
Arsenal over 1.5 total away team
Genk over 1.5 total away team
Spal home team to score
 
Mpigwe tuu na Mliwe kabisa mbali empty kabisa [emoji35][emoji35][emoji35][emoji35] kila siku mnatangaziwa Humu Monaco hafai mnaenda tuu kichwa kichwa hiyo ndo faida yake sasa na Muendelee kupigwa
Ahahahaaaaa jamanii monaco cyo mtu kabsaa
 
[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35] Hivi awa 1x bet hawana namba ya sm ukitaka kuwatafuta?..
 
Hii hatari san ipo siku utaanza moja... Chomoa percent fulani ya pesa unayopata..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…