KabisaDirect win ni hatari kwa afya.
Huwa nikiipa timu direct win... Ujue nimeiamini kupita maelezo ila mara nyingi sitoi direct win. Double chance ni safe kuliko wengi wanavyofikiria.Direct win ni hatari kwa afya.
Mke eeee, kumbe unachezaga hiziLeo nilijaribu hivi nimeshinda ila ehee hapana nilikaa na presha muda wote nawaza hela yangu [emoji23][emoji23][emoji23] kwa presha hii sirudii
hahaa, mke na ww una ofisi huku?
Ni nadra kukuona huku
Leo nilijaribu hivi nimeshinda ila ehee hapana nilikaa na presha muda wote nawaza hela yangu [emoji23][emoji23][emoji23] kwa presha hii sirudii
Mke eeee, kumbe unachezaga hizi
Nilishue 2buku mkuuToka lini dada yako akawa mke?
nilicheza ehee ingawa ni mwanzo na mwisho.
Jamaani haya ni maajabuView attachment 914195
Ahahaha viceversa is true.