Rockcity native
JF-Expert Member
- Dec 31, 2012
- 2,174
- 1,445
- Thread starter
- #1,641
Burnley,derby,watfod,shelfied wesday
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
league za watoto uingereza hasara tupu, mkeka utachanika hazitabiriki, timu yeyote inaweza shinda, zimenipa hasara sana! nimeapa kutoziweka kabisa.....!!!! anyway good luckBurnley,derby,watfod,shelfied wesday
Mimi nimeamua kucheza live nawekea timu zangu chache dau lote
league za watoto uingereza hasara tupu, mkeka utachanika hazitabiriki, timu yeyote inaweza shinda, zimenipa hasara sana! nimeapa kutoziweka kabisa.....!!!! anyway good luck
ni kweli kabisa hakuna ligi ngumu kutabiri kama daraja la 1 hadi la 4 uingereza. Game zote huwa 50/50 sema huwa tunaenda nao hivyo hvyo
Kuna wengine hao akina auxerre, estac troyes, nimes, chamois niort. (France ligue 2) wana balaa nao.
Burnley,derby,watfod,shelfied wesday
afadhali ligue 2 ya france lakini sio hzi za uingerezaKuna wengine hao akina auxerre, estac troyes, nimes, chamois niort. (France ligue 2) wana balaa nao.
yani hizi timu hazinaga eti yupo home, hakuna yupo juu au chini, yeyote anapigwani kweli kabisa hakuna ligi ngumu kutabiri kama daraja la 1 hadi la 4 uingereza. Game zote huwa 50/50 sema huwa tunaenda nao hivyo hvyo
hawana maana akina chalton.Hhaah! watu washa haribu!
Leo handcap kwa atletico kamakawa hapa vila,pale costa kule ada touran,huku diego. Chelsea eto'0 pancha,hazard pancha, ivanoviç kala ban.
Duh! Sijuhi! Kwa jinsi morinho alivyo achelewi kuharibu!
kaharibu kweli, mourinho hafai bora mtu wetu wa kutupa faida bw moyez
teh teh teh watu mna roho ngumu, game ya atletico madrid-chelsea kuiwekea mzigo ya win lose sikuthubutu, lbd ningeiwekea mzigo wa under 2.5