Rockcity native
JF-Expert Member
- Dec 31, 2012
- 2,174
- 1,445
- Thread starter
- #1,661
Game ya leo kama ronaldo na bale hawapo naondoa shilingi kwa madrid.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani wazee wa kubet mimi huwa nafanya hivi je ni sahihi?
Nabet timu win,lose,draw kwenye mechi moja hivyo matokeo yoyote kati ya hayo napata hela.
Na pia nachagua timu 10 afu nachukua 5/10 hivyo timu tano zikiwin napata hela zikilose sita hela imeenda.
mkuu hii bet ikoje? umeniacha hapo!ah..!ngoja leo nieke wa kujilipua unaopumua
set 7397
18-4
25-4
26-6
29-6
Jamani wazee wa kubet mimi huwa nafanya hivi je ni sahihi?
Nabet timu win,lose,draw kwenye mechi moja hivyo matokeo yoyote kati ya hayo napata hela.
Na pia nachagua timu 10 afu nachukua 5/10 hivyo timu tano zikiwin napata hela zikilose sita hela imeenda.
lakini inategemea na odds kwa mfano unakuta win 1.70, draw 3.2, lose 3.52. Halafu ukabet kila tukio kwa buku 10 halafu ukapata kwenye win utakua umepata 17,000 wakati umeinvest 30,000
ah..!ngoja leo nieke wa kujilipua unaopumua
set 7397
18-4
25-4
26-6
29-6
Total odds wanagawa kwa number ya timu ulizochagua.
Kama odds ziko 890 afu ukachagua timu 15 hapo zitakuja odds 59.9 ila zikishinda timu 14 hela imeenda. Ila ukiweka timu 20 afu uchague 15/20 itakataa na kukuambia too many selection.
Mimi huwa nachukua timu 10 afu nachagua 6/10 unapata odds nzuri tu.
Au huwa natumia hii njia hapa
Kwenye game moja nachagua draw,win na lose afu wao wanagawa kwa 1/3 hivyo moja ikishinda au draw au lose nakula hela yangu afu nachagua timu nyingi ili hela nitayopata iwe nyingi. Nadhani leo nalala na laki nne hivi kwenye timu nne
game nahisi kama vile droo, nahis magoli hayatakuwa zaidi ya matatu hivyo nahis under 2.5 yani 0-2, au kama unahisi benfica atashinda weka x-1 upate odds nzuri zaidi yani kipindi cha kwanza droo cha pili benfica anashinda, kwa game hii nahs vilevie 28+ ni nzuri vilevileGame ya leo benfica v juve naona kama benfica anashnda japo muhind kabalance odds
Total odds wanagawa kwa number ya timu ulizochagua.
Kama odds ziko 890 afu ukachagua timu 15 hapo zitakuja odds 59.9 ila zikishinda timu 14 hela imeenda. Ila ukiweka timu 20 afu uchague 15/20 itakataa na kukuambia too many selection.
Mimi huwa nachukua timu 10 afu nachagua 6/10 unapata odds nzuri tu.
Au huwa natumia hii njia hapa
Kwenye game moja nachagua draw,win na lose afu wao wanagawa kwa 1/3 hivyo moja ikishinda au draw au lose nakula hela yangu afu nachagua timu nyingi ili hela nitayopata iwe nyingi. Nadhani leo nalala na laki nne hivi kwenye timu nne
Total odds wanagawa kwa number ya timu ulizochagua.
Kama odds ziko 890 afu ukachagua timu 15 hapo zitakuja odds 59.9 ila zikishinda timu 14 hela imeenda. Ila ukiweka timu 20 afu uchague 15/20 itakataa na kukuambia too many selection.
Mimi huwa nachukua timu 10 afu nachagua 6/10 unapata odds nzuri tu.
Au huwa natumia hii njia hapa
Kwenye game moja nachagua draw,win na lose afu wao wanagawa kwa 1/3 hivyo moja ikishinda au draw au lose nakula hela yangu afu nachagua timu nyingi ili hela nitayopata iwe nyingi. Nadhani leo nalala na laki nne hivi kwenye timu nne
game nahisi kama vile droo, nahis magoli hayatakuwa zaidi ya matatu hivyo nahis under 2.5 yani 0-2, au kama unahisi benfica atashinda weka x-1 upate odds nzuri zaidi yani kipindi cha kwanza droo cha pili benfica anashinda, kwa game hii nahs vilevie 28+ ni nzuri vilevile
Betting siku ukiipatia unapata hela ndefu kweli na siku ikikupata unalia
nauliza endapo nikibet via mbet nikafanikiwa pesa yangu wataitima saa ngap....jana nimebet but up to nao hawajanipa hela