Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Tatizo meridian hadi uende kwenye vibanda vyao, bora ingekuwa online
 
Tatizo meridian hadi uende kwenye vibanda vyao, bora ingekuwa online

Meridian ipo online kaka sema kudraw pesa ndio mpaka uende kibandani.
ni kweli meridian ipo online lakini huduma ya kudeposit wanayo inaitwa nettell sijui ndio huduma gani, hawana visa wala mastercard! ninachowapendea hawana longo longo kutoa mshiko hata iwe saa 5 usiku wanakupa chako!
 
Mzee wa integral by parts upo? Siku nyingi sana sikuoni bana!
 
asante kaka ebu ngoja nijaribu hii theory ya mzee wetu apumzike kwa amani,

je, mzizimkavu na ile ya kujua kitu kitachotokea kwa kutumia formula ya hesabu na tabia ya namba, na yenyewe unajumlisha vitu viwili sijui unagawa na muda au tarehe, :A S 39:

mkuu huo utabiri ni wa uongo...........

angalia kwenye mechi ya jaya kati ya chelsea na sunderland........

liverpool na norwich , leo...............

utaona imeenda kinyume na utabiri wake.
tibu zilizopata namba ambazo hazigawanyiki(odd number) ndiyo zilizoshinda.
 
Basi tuweke kinyume badala ya kuweka zinazogawanyika tunaweka zisizogawanyika...
 
Wazee wenzangu msinione nipo kimya kweny mikeka, nimechukua likizo kidogo nijipange upya.
 
mkuu huo utabiri ni wa uongo...........

angalia kwenye mechi ya jaya kati ya chelsea na sunderland........

liverpool na norwich , leo...............

utaona imeenda kinyume na utabiri wake.
tibu zilizopata namba ambazo hazigawanyiki(odd number) ndiyo zilizoshinda.
ni kweli mkuu jana yenyewe nilikuwa napiga mahesabu kwa timu nilizokuwa naziaminia nikaona chenga....

vilevile kwa mahesabu yake ilibidi Simba ishinde jana, lakini ikatoa suluhu!

cc MziziMkavu
 
Last edited by a moderator:
baada ya jana chelsea kula vichwa vya wengi, lakini hatukati tamaa.....

mkeka wangu wa leo,

monaco vs nice , l 1 l, win
Benfica vs Olhanese, l 1 l, win
Porto vs Rio ave, l 1 l, win
Sevilla vs granada, l 1 l, win
Norwich vs Liverpool, l 2 l, lose
Albacele vs melila, l 1 l, win
Monaco vs Nice l 1 l, win
Hull city vs Asernal, A1+ , away team to score at least one goal
Everton vs Man utd, GG , both team to score during the match
Gazovik vs Angusht, l 1 l, win
Wenzako huku ulaya wanacheza kamari ya kutabiri mambo ya mpira na washinda na kupata Mamilioni ya euro njoo huku ushinde uwe tajiri bongo
 
baada ya jana chelsea kula vichwa vya wengi, lakini hatukati tamaa.....

mkeka wangu wa leo,

monaco vs nice , l 1 l, win
Benfica vs Olhanese, l 1 l, win
Porto vs Rio ave, l 1 l, win
Sevilla vs granada, l 1 l, win
Norwich vs Liverpool, l 2 l, lose
Albacele vs melila, l 1 l, win
Monaco vs Nice l 1 l, win
Hull city vs Asernal, A1+ , away team to score at least one goal
Everton vs Man utd, GG , both team to score during the match
Gazovik vs Angusht, l 1 l, win

manure urinated kachana hyo gg yan kapgwa 2 mtungi
 
manure urinated kachana hyo gg yan kapgwa 2 mtungi
dadeki zao manyunyu sijui wamekuwa manyunyu ya mvua siku hizi, yani kashindwa kupata hata goli moja,

mkeka timu zote umekubali ila ***** zake manyuu kaniskosesha laki 3 hivihivi.....:frusty:
 
dadeki zao manyunyu sijui wamekuwa manyunyu ya mvua siku hizi, yani kashindwa kupata hata goli moja,

mkeka timu zote umekubali ila ***** zake manyuu kaniskosesha laki 3 hivihivi.....:frusty:

pole sana mdau man u kaamua kufa kibudu
 
hatukati tamaa na leo tena....

shamrock vs bray wanders, l 1 l, win
Koln vs Bochum, l 1 l, win
ucd vs Cork city, l 2 l, lose
Athlone vs Dundalk, l 2 l, lose
....
....
...
...
....
....
Willem II vs Telstar, l 1 l, win

Game 20 na tunatupia buku 2 tu, mkeka ukishinda tunaramba mi.ri.o.ni na ushee...
 
Back
Top Bottom