mathematics
JF-Expert Member
- Feb 21, 2012
- 3,322
- 1,110
mathematics unamtumia meridian au mbet
meridian bet
Barca, Liverpool, Sevilla na LABDA schalke
barca ugonjwa mkeka unaweza ukachanika, shakle 04 yupo ugenini anaweza toa droo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mathematics unamtumia meridian au mbet
Barca, Liverpool, Sevilla na LABDA schalke
Tatizo meridian hadi uende kwenye vibanda vyao, bora ingekuwa online
Tatizo meridian hadi uende kwenye vibanda vyao, bora ingekuwa online
ni kweli meridian ipo online lakini huduma ya kudeposit wanayo inaitwa nettell sijui ndio huduma gani, hawana visa wala mastercard! ninachowapendea hawana longo longo kutoa mshiko hata iwe saa 5 usiku wanakupa chako!Meridian ipo online kaka sema kudraw pesa ndio mpaka uende kibandani.
ni kweli meridian ipo online lakini huduma ya kudeposit wanayo inaitwa nettell sijui ndio huduma gani, hawana visa wala mastercard! ninachowapendea hawana longo longo kutoa mshiko hata iwe saa 5 usiku wanakupa chako!
asante kaka ebu ngoja nijaribu hii theory ya mzee wetu apumzike kwa amani,
je, mzizimkavu na ile ya kujua kitu kitachotokea kwa kutumia formula ya hesabu na tabia ya namba, na yenyewe unajumlisha vitu viwili sijui unagawa na muda au tarehe, :A S 39:
mkuu huo utabiri ni wa uongo...........
angalia kwenye mechi ya jaya kati ya chelsea na sunderland........
liverpool na norwich , leo...............
utaona imeenda kinyume na utabiri wake.
tibu zilizopata namba ambazo hazigawanyiki(odd number) ndiyo zilizoshinda.
ni kweli mkuu jana yenyewe nilikuwa napiga mahesabu kwa timu nilizokuwa naziaminia nikaona chenga....mkuu huo utabiri ni wa uongo...........
angalia kwenye mechi ya jaya kati ya chelsea na sunderland........
liverpool na norwich , leo...............
utaona imeenda kinyume na utabiri wake.
tibu zilizopata namba ambazo hazigawanyiki(odd number) ndiyo zilizoshinda.
Unaziamini hesabu nilizo kupa? ndugu mathematics ?ni kweli mkuu jana yenyewe nilikuwa napiga mahesabu kwa timu nilizokuwa naziaminia nikaona chenga....
vilevile kwa mahesabu yake ilibidi Simba ishinde jana, lakini ikatoa suluhu!
cc MziziMkavu
Wenzako huku ulaya wanacheza kamari ya kutabiri mambo ya mpira na washinda na kupata Mamilioni ya euro njoo huku ushinde uwe tajiri bongobaada ya jana chelsea kula vichwa vya wengi, lakini hatukati tamaa.....
mkeka wangu wa leo,
monaco vs nice , l 1 l, win
Benfica vs Olhanese, l 1 l, win
Porto vs Rio ave, l 1 l, win
Sevilla vs granada, l 1 l, win
Norwich vs Liverpool, l 2 l, lose
Albacele vs melila, l 1 l, win
Monaco vs Nice l 1 l, win
Hull city vs Asernal, A1+ , away team to score at least one goal
Everton vs Man utd, GG , both team to score during the match
Gazovik vs Angusht, l 1 l, win
baada ya jana chelsea kula vichwa vya wengi, lakini hatukati tamaa.....
mkeka wangu wa leo,
monaco vs nice , l 1 l, win
Benfica vs Olhanese, l 1 l, win
Porto vs Rio ave, l 1 l, win
Sevilla vs granada, l 1 l, win
Norwich vs Liverpool, l 2 l, lose
Albacele vs melila, l 1 l, win
Monaco vs Nice l 1 l, win
Hull city vs Asernal, A1+ , away team to score at least one goal
Everton vs Man utd, GG , both team to score during the match
Gazovik vs Angusht, l 1 l, win
Basi tuweke kinyume badala ya kuweka zinazogawanyika tunaweka zisizogawanyika...
ni kweli mkuu jana yenyewe nilikuwa napiga mahesabu kwa timu nilizokuwa naziaminia nikaona chenga....
vilevile kwa mahesabu yake ilibidi Simba ishinde jana, lakini ikatoa suluhu!
cc MziziMkavu
wazee wenzangu msinione nipo kimya kweny mikeka, nimechukua likizo kidogo nijipange upya.
dadeki zao manyunyu sijui wamekuwa manyunyu ya mvua siku hizi, yani kashindwa kupata hata goli moja,manure urinated kachana hyo gg yan kapgwa 2 mtungi
dadeki zao manyunyu sijui wamekuwa manyunyu ya mvua siku hizi, yani kashindwa kupata hata goli moja,
mkeka timu zote umekubali ila ***** zake manyuu kaniskosesha laki 3 hivihivi.....:frusty: