Complex
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 4,119
- 4,779
xyz123
Ukisharegister watakutumia email kwenye hiyo email ina link ambayo watakiwa ibonyeza ili uweze kuwa activated.
Kuhusu kuweka hela wana vibanda vyao kariakoo mtaa wa msimbazi karibu na kituo cha police.
Magomeni wana kituo, buguruni.
Huko ndio waenda na kudeposit pesa yako. Hata ukitaka kutoa pia waenda huko huko. Magomeni mapipa kipo karibu na stend ya BRT.
Utakuta kimeandikwa Meridian betting.
Cha kushangaza email sijatumiwa.
Last edited by a moderator: