Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Daaaah nimepishana na fuko la hela... 🙁 m-bet walinitumia jana hii nikazarau. 🙁
 

Attachments

  • 1398616893144.jpg
    1398616893144.jpg
    60.7 KB · Views: 122
Jana mdosi kachanganya madesa kwnye system m-bet kwnye handcap watu wamempiga vibaya. Eti alimpa juve goli na akampa point 2.1, caen nae akampa goli na pt 4
 
Live betting bana wamekata mtaji wote tena yaaani naona naanza kuwa teja sasa.
 
Jaman mm jana nilipatia kuwa arsenal win na juve win lakin had mda huu hawajanipa mpunga wangu!
 
Weraaaaa kwenye mataaaa mpaka kwa mdos,50,000 thou sio haba wakuuuuu


Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
Back
Top Bottom