Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

kie kie kie kie hakuna bro, nimesoma statistics za Madrid nikaona Bayern hawaponi, leo mzigo woote pamoja na mtaji nawapa chelsea.

Hukusoma statistics za spanish vs english vizuri mkuu.pole.
 
Hukusoma statistics za spanish vs english vizuri mkuu.pole.

mkuu inatokea tu, ni bahati mbaya tu!
chelsea chini ya mourinho inacheza mpira mboovu ajabu, bora benitez angeendelea tu! wakati wa benitez timu ilikuwa inashambulia na kucheza beutiful football, sasa leo mourinho shubiri ya game ya kudefence ameionja!
 
kie kie kie kie hakuna bro, nimesoma statistics za Madrid nikaona Bayern hawaponi, leo mzigo woote pamoja na mtaji nawapa chelsea.
pole mkuu, mimi game hizi kubwa huwa naziogopa sana, huwa siweki pesa yangu!
 
Niambieni mechi za leo. Nibeti jee. Si mnajua bongo pesa isakwa kwa kila hali.
 
wakuu zangu za leo bila choyo,

shamrock vs Limerick , win - ireland premier league
caen vs cabastia , win - leagu 2 france
metz vs tours , win - league 2 france
Nancy vs Istres , win , league 2 france
inter baku vs somgyat , win - azbeijan premier league
Laski Linz vs Vorwats , win - Austria regionaliga

Good lucky guys
 
Tubet! Tubet! Tubet!!!!!!.nisaidien timu gan niziwekee mpunga ila ya mboga naacha
 
Anae mtoa Barca nusu fainali ndiye huwa anakuwa bingwa siyo robo fainali,rejea Liverpool na Juventus walishawahi

kumtoa barca robo fainali na wakafungwa fainali,lakini mara zote madrid alipomtoa bingwa mtetezi katika hatua hii

alichukua ubingwa hivyo siku ya fainali mm mzigo wote taweka kwa madrid..

mzigo nau2pia kwa atletco kwa 7bu anaemtoa barka ni must awe bingwa
 
Anae mtoa Barca nusu fainali ndiye huwa anakuwa bingwa siyo robo fainali,rejea Liverpool na Juventus walishawahi

kumtoa barca robo fainali na wakafungwa fainali,lakini mara zote madrid alipomtoa bingwa mtetezi katika hatua hii

alichukua ubingwa hivyo siku ya fainali mm mzigo wote taweka kwa madrid..

kumbe na wewe umekariri huna tofauti na unayemkosoa.
 
Back
Top Bottom