Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaaah nimepishana na fuko la hela... 🙁 m-bet walinitumia jana hii nikazarau. 🙁
ila inter si alidroo
mkeka wa kigumu wa siku ile ulikula kwako, teh teh teh
tupia mkea laini halafu weka timu 50, teh teh teh:israel:
hahahah mi leo naweka mkeka wa kigum. Helas verona,sundland,augsburg,bilbao na anzi makachkala
mathematics umeona mkeka wa kigum huo?
zote orait, ila anzi machakachala amedroo:flypig:
niliweka mikeka ka mi3 anzi kachana 1
Leo mpunga wote kwa Madrid liwalo na liwe
Leo mpunga wote kwa Madrid liwalo na liwe
Jana mdosi kachanganya madesa kwnye system m-bet kwnye handcap watu wamempiga vibaya. Eti alimpa juve goli na akampa point 2.1, caen nae akampa goli na pt 4
Mkuu tungeshtuana mapema
Leo mpunga wote kwa Madrid liwalo na liwe