Uko sahihi mkuu huwa nawashangaa watu wanaoomba mtu apost kabla hajaplace bet hii haikusaidii kwa sababu siku asipopost na wewe huwezi bet hiyo option ya over 1 first half na hata ukibet utalost. Muhimu hao wenye kuiweza hiyo option watoe vigezo wanavyoangalia katika mchezo husika ama mbinu wanayoitumia kufanya hiyo selection huo ndio utakuwa msaada na hapo ndipo watu wataweza kujifunza.Hapo utakua hujifunzi
Ni sawa na mwanafunzi kuingia na nondo kwenye chumba cha mtihani
wewe hapo ndo umenena mkuu tatzo sio kupest mkeka wao tatzo ni sie kujifunza wapi tuanzie tuwe tunawela mastake makubwaUko sahihi mkuu huwa nawashangaa watu wanaoomba mtu apost kabla hajaplace bet hii haikusaidii kwa sababu siku asipopost na wewe huwezi bet hiyo option ya over 1 first half na hata ukibet utalost. Muhimu hao wenye kuiweza hiyo option watoe vigezo wanavyoangalia katika mchezo husika ama mbinu wanayoitumia kufanya hiyo selection huo ndio utakuwa msaada na hapo ndipo watu wataweza kujifunza.
app gan hiiView attachment 921024
Bado sijachoka
daah ningeweka hata laki moja nilikuwa nishammaliza [emoji32] View attachment 921131
kbs mkuuUnanyota ya umaskini, unawekaje buku
Hahaa,hapo umeua mkuuMbona tunazoliwa hatuletiView attachment 921107
Uko sahihi mkuu huwa nawashangaa watu wanaoomba mtu apost kabla hajaplace bet hii haikusaidii kwa sababu siku asipopost na wewe huwezi bet hiyo option ya over 1 first half na hata ukibet utalost. Muhimu hao wenye kuiweza hiyo option watoe vigezo wanavyoangalia katika mchezo husika ama mbinu wanayoitumia kufanya hiyo selection huo ndio utakuwa msaada na hapo ndipo watu wataweza kujifunza.
Mkuu wewe kila siku ni kuulizia app gani hiyo?app gan hii
daah ningeweka hata laki moja nilikuwa nishammaliza [emoji32] View attachment 921131