Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kuangalia tu mikeka iliyowon sio solution watu wanajitahid lakin wanafail sas anashangaa mbna wenzangu wanapatia mm nashindwa
Ni kweli mkuu kama ni post watuwekee na iliyolost nayopia kuna cha kujifunza!
 
Aiseeeeee, jamiiforum ni jukwaa huru kuna watu wanataka kujimilikisha. Wewe kama huna cha kujifunza pita tu. Ila watu wengi ikiwemo Mimi ninajifunza kupitia Mikeka ya ushindi inayopostiwa humu. Wale mnaopost mikeka ya WON muongeze kasi tehtehteh.
 
Ni wachache wanaoweza kukupa siri ya mafanikio mkuu. Kuna jamaa anaotwa Mwakey alimjibu isaac kama sikosei huyu jamaa mwakei alijibu kiuwalimu zaidi na kama mtu aliisoma ile post utakuwa nawe una fanya money laundering kama mwakey jamaa alitoa mpaka website ambayo anaitumia kufanya analysis ya inplay. Niliisoma ile post ya jamaa vizuri sana nilijifunza kitu kizuri sana mkuu now nami nafanyepo kamoney laundering [emoji23] [emoji23] [emoji23].
 
Ni post namba ngapi nikaichungulie hiyo elimu mkuu
 
Mi saiv bado nacheza na corners kwanza na so far ni mwendo win tu
 
Ni kwel hata hao matajir watazunguzunguka lakin siri ya mafanikio iwe halali au haramu hawatakaa waseme ng'oo.
 
Niliiona ile na niliifuatilia iko vzr na inatoa kwel vile ndivyo inavyotakiwa unafuatilia na ile site mambo yanaenda
 
Niliiona ile na niliifuatilia iko vzr na inatoa kwel vile ndivyo inavyotakiwa unafuatilia na ile site mambo yanaenda
Tangu nilipoisoma ile post since that day naingiza 20000 nalala mdogo mdogo hiyo ni uhakika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…