Huwa nikiona woon nafurahi sana na napata morali ya kupambana zaidi
Hongera mkuu, Mkuu nimeokosa hii pesa Daah. Ilikuwa pesa ya wazi.View attachment 921296 shout to you void
Mkuu ungerushia 50k tungeongea mengine tehtehtehMoney loundering. View attachment 921307
Money loundering. View attachment 921307
Hahaaa yaani hapa natamani mpira uishe...tayari kona zimefika 4Zikipigwa tatu apo za fasta umekwisha
Tehtehteh mkuu shikilia moyo.Hahaaa yaani hapa natamani mpira uishe...tayari kona zimefika 4
Mkuu umeona eeh ni trick tu hakuna uchawi.Huu mchezo kila mtu anakula kivyake yan daah,,
Hadi rahaView attachment 921346
Kweli mkuuMkuu umeona eeh ni trick tu hakuna uchawi.
Wooon!!Huu nao unapumua japo nilibet kwa kukosea lakini naona unapumuaView attachment 921342