Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wanakupa mkeka wa bure ujaribu tena,

Nadhani huo mkeka unakua na thamani ya stake ya mkeka uliolost
Mi nnachojua ni kuwa, wanakupa units ambazo zinakuwa in terms of stake, kwahiyo hizo unit zikifikia zaidi ya 700 Luna batani inajifungua automatic na waweza zitumia kubetia kama hela.
Ona hapa hizo unit zenyewe kwenye system zinavyoonekana....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…