Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mpaka sasa dk ya 39 hawajapiga hata kona moja hapa ndipo unapotaman kuingia mwenyewe uwanjan ukatoe ili upate kona, betting ni ya ajabu sana.
Daaaah mwanangu wee acha ******* espanyol wameniunguzia 50k ya over 2.5 corner 1 half yangu sema wakanipoza na 30 ya over 0.5 goal 1 half
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…