Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,834
- 40,641
Pole mkuu ila tuendelee kupambana ndio kawaida ya mchezo huu.Daaaah mwanangu wee acha ******* espanyol wameniunguzia 50k ya over 2.5 corner 1 half yangu sema wakanipoza na 30 ya over 0.5 goal 1 half
Hongera mkuu najua umemkomba zote alizotula100%aaaah Asante MunguView attachment 923032
Ameitika paaaaaaaaa100%aaaah Asante MunguView attachment 923032
Download....89%View attachment 922972
Leo, meno yote njeeeHongera mzee, bado game moja
Ni idadi ya magoli atayofunga timu husika! Mafano ukiweka iyo over 2 kwa Liverpool inamaana afunge goal zaidi ya mbili akifunga 2 unakuwa refunded! Kwenye exact inamaana afunge idadi hiyo hiyo iliyoweka akizidisha au kupunguza umeliwa! Mafano kwenye exact 3 inamaana unatabiri Liverpool atafunga magoli matatu tu na sio vinginevyo!MSAADA,
★kwa wanaoijua vizuri program ya 1XBET hivi mini maana ya individual total kama inavyoonekana kwenye screenshot hapa?
★Imenichanganya sana kwakweli halafu ina Odds nyingi sana.
Naombeni ufafanuzi kama mnaelewa .View attachment 923050
Aiseeeeeee mrusi amechana mikeka yangu hatariiiiiiii, hebu nipeni odds basi100%aaaah Asante MunguView attachment 923032
Ni idadi ya magoli atayofunga timu husika! Mafano ukiweka iyo over 2 kwa Liverpool inamaana afunge goal zaidi ya mbili akifunga 2 unakuwa refunded! Kwenye exact inamaana afunge idadi hiyo hiyo iliyoweka akizidisha au kupunguza umeliwa! Mafano kwenye exact 3 inamaana unatabiri Liverpool atafunga magoli matatu tu na sio vinginevyo!
Itapendeza na hiisaa5 na nusu
View attachment 923078
Tip 1- GG Odds 1.76
Tip 2- 1& GG Odds 4.34
Tip 3- Over 2.5 goals Odds 1.98
Tip 4- FT CS 2-1 Odds 8.67 / 3-2 Odds 30.51 Odds ( i will try this)
Itapendeza na hii View attachment 923113
Mwendo wa mabawa....paapaa paaaaaa huyooo anganiiiiiTunaruka pamoja mkuu.