Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Timu za kichina nazo sometimes zinakiwa na ka uchizi nimempa vikapu 15 ameruhusu vikapu 30 hakuna hata dalili ya kijitetea yaana anamtizama tu
Duh mkuu ndo ivyo, nlikua nmeufata bt Noway out, mapambano yaendelee. Nmeona last quarter jamaa wana vikapu 13 yy anavyo 2 nikakata tamaa kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…