Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mie walini refund, niliweka 1st half waende over 2 wakaishia 2 pesa ikarudi nikaona hapa hamna kitu, kwa magoli yalr waliyokua wanakosa.

Ujinga zaidi wakifika golini wanapiga cross za juu kumpigia mane, na salah bila kujua mabeki wa team ile wote warefu basi yakawa yale ya konki master
Liverpool wanalaana wale
 
Hakuna options hatari wala salama,kama zingekuwepo basi hatari tungeziacha,tukafuata zilizo salama tungemla Kanji kila siku!Kwani nani hapendi kula?Unaweza ukaweka over 1.5 still match ikaisha 0_0,,1_0 ikakunyima hela!Kwa mfano juzi mimi psv nmempa 2+ anacheza na Vitesse akaishia kushinda 1_0 nkakosa laki 2 na uchafu!

Huu ndio mchezo wa kubashiri,,ukibashiri sawa utapata hela ukikosea umeliwa,Hauna formula maalumu!na kama ingekuepo tungeapply tukala hela daily!
 
Wazee nimehamisha pesa toka jana kutoka ktk a/c yangu ya 1xbet kuja mpesa na operator ka approve na imeahatoka kyk account, surprisingly toka jana hadi leo haijaingia mpesa, wajuvi hapa kutakua na shida gani?
 
kiongozi bora ucheze magoli kuliko kutoa direct win huu ni ukweli mimi nakwambia kwasababu unapotoa direct win tayari unakuwa umeshajilimiti kwamba timu fulani lazima ishinde lkn ukitoa over 0.5 ina mana yeyote anaweza akatoa hizo goli sasa hapo uwezekano wa kupoteza ni mdogo sana niamini hivyo kiongozi, mimi mechi ya jana ya liverpool niliweka over 1.5 nikajuwa liverpool lazima apate goli kuanzia 2 lakini akapigwa yeye mbili na mkeka wangu ukabaki salama lkn ningempa direct win leo ningekuwa nalia kama wengine.
 
Nilisha kataa huo mchezo,
Mi nachezaga magoli tu, upande mwingine huwa najaribu hata dable chance lakini na yenyewe no risk,
Ona jana kwa Liverpool, hata waliompa dable Chance bado kawaliza tu.

Njia bora kabisa kwangu ni magoli tu ikiwa ni kucheza na juu ya/chini ya ( over/under).Mfumo huu, unanilipa sana sana kwakweli,
Direct bet imenifilisi sana Siku za nyuma,lakini kwasasa nimeshajifunza mambo mengi sana na siwezi kurudia makosa.

Siku ya Jana Liverpool nilikuwa nimewapa over 1.5,
Mungu ni mkubwa,kafungwa Liverpool mkeka wangu ukabaki salama kabisaa,
Nikibetia magoli ninachokuwa nakiangalia ni magoli mangapi yashaingia wavuni doesn't matter nani kafunga, au nani kafunga.
 
Kuna waliompaa direct win huyo Crzna zveda alikua na odds 21 aliempiga liverpool 2_0!Je wao hawajala??!Kuna waliobeti magoli kua mechi ya liver itoe over 2.5 wameliwa!

Hakuna formula kwenye kubet mkuu sio kila mechi itatoa over 1.5!Kwan mara ngapi zinaua mikeka?
 
Hilo nalo neno kwakweli,
 
Wazee nimehamisha pesa toka jana kutoka ktk a/c yangu ya 1xbet kuja mpesa na operator ka approve na imeahatoka kyk account, surprisingly toka jana hadi leo haijaingia mpesa, wajuvi hapa kutakua na shida gani?
Mkuu nisaidiee kwenye kudeposit ela unatakiwa uweke kuanziaa shingap......na kubet inaanziaa how much kwenye 1xbet
 
wazee haya bhana tuendelee kucheza direct win kwa afya
 
Sijawahi cheza option nyingine yoyote zaidi ya direct win nina mwezi sasa sijapunwa hata siku moja ni mwendo wa kitonga tuu.
Tatizo ni bahati mkuu kama huna bahati ata ucheze over 0.5 FT haitoi ndipo ubaki mdomo wazi nzi watoke maka wakuingie😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…