Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

nime2ma pesa 1xbet lkn mpaka sasa sijapata message yeyote ya kuthibitisha muamala lakin pesa imesha pungua m*pesa
 
Jamani hi tabia ya kila Mara mtu unauulizia option hiyo hiyo MOJA mnafanya tusiwe tunapost mikeka.... handicap maana yake Nini unajibu kesho Tena anauliza mwingine handicap maana yake Nini inakera
Usichukie mkuu....pale penye makosa samehe...ndivyo utazidi kubarikiwaa.....
 
Wenye posibo tupieni mapema watu tujipime kama tunajilipua ama kuacha, kupishana na mijihela inasikitisha
 
Hii 1xbet naona bado kichwa yake ina mawenge sijui ilitekwa leo? maana tangu asubuhi nyia za malipo kwa simu zilipotea sasa vimerudi nimejaribu kuweka hela haijaonekana kwenye akauti yangu wakati kwenye simu imeondoka
 
Mm tangu nilipotoa pesa hadi sasa haijafika sijui kama kuna alie na tatzo kama langu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…