Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

WATAALAMU WA 1XBET NAOMBA ELIMU

1. Ninatumia PC hivyo nime download application yao kwenye komputa yangu lakini saa nyingine naweza kutumia hiyo ya web moja kwa moja. Tatizo linakuja pale ninapotaka ku filter mechi za masaa 48 kwenye application niliyopakua inakataa na inaishia masaa sita tuu. Lakini kwenye kucheza moja kwa moja kwenye mtandao uki filter inakubali. TATIZO LIKO WAPI?Maana nilitarajia hii application nzima ndio ingekuwa imebeba kila aina ya makorokocho?
Hii ni application ambayo nikijaribu ku filter inaishia masaa sita tuu
 

Hii ni ya kucheza moja kwa moja inakubali ku filter hadi masaa 48
 
Hii 1xbet naona bado kichwa yake ina mawenge sijui ilitekwa leo? maana tangu asubuhi nyia za malipo kwa simu zilipotea sasa vimerudi nimejaribu kuweka hela haijaonekana kwenye akauti yangu wakati kwenye simu imeondoka
Mi kwangu hakuna njia ya malipo kwa mobile money, au washazinguana na MLIPA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…