Na mm hivyo hivyo aiseewadau mpk nme anza kupata wasiwasi wa kupoteza pesa yangu tangu juzi nme depost kwa mpesa nmejaribu kufatilia MLIPA wamezima simu sasa nipo njia panda
Naona katukazia hadi katulaYaani hii quater GSW akiloose humu ndani kama watu walifuata itakuwa shangwe kwa kila mmoja
Daaa anabahat sana aisee ilibaki kidgo tu watu tulipuke kwa shwangeNaona katukazia hadi katula
Mm mwenyew namshangaa aiseeUnazingua ujue navimikeka vyako unaonekana hujawah kula basi ndo mwembwe kama zote ASA kimkeka cha mia6 unampostia nani uwaoni kna void wanatutamanisha tu mibunda
Msg toka Voda unayowadau mpk nme anza kupata wasiwasi wa kupoteza pesa yangu tangu juzi nme depost kwa mpesa nmejaribu kufatilia MLIPA wamezima simu sasa nipo njia panda
Nilimpa -24.5 vikapu 2 kachemkaKama nakuona ulivyokaza sehemu za siri mkuu, teh teh ziachie tu ni yako hyo
Pesa yangu ndefu mkuu ingekua kidogo ninge kausha alf ndo weekend hii apa ya kupiga pesa, hakuna mdau humu alisha kutana kisanga kma hiki atusaidie jinsi alivyo solve?Mimi mwenyewe nimeanua kutowafatilia wasiponipa basi
NnayoMsg toka Voda unayo
Daaah nime lost zote mkuuAmekubali kutoa hii siyo mbayaView attachment 927236
Mkuu usiache kutupiaa haya mambo boss....daahAmekubali kutoa hii siyo mbayaView attachment 927236
Utamtumia huyo jamaaa kwenye WhatsApp then ataurudisha sema inabidi kuwa mpole maana wanna pozi balaaaNnayo
Mi huwa nakutan na changamoto kama hyo yako mpak ninekuwa sugu ninachokifanya huwa namtumia sms ya mwamala na no nilotumia yule jamaa mwenye hii no 0758460813 nakumwambia asipowek pesa yangu nawafuata ofisini kwao chap anawek wakat hata ofisi zao sijui zilipoPesa yangu ndefu mkuu ingekua kidogo ninge kausha alf ndo weekend hii apa ya kupiga pesa, hakuna mdau humu alisha kutana kisanga kma hiki atusaidie jinsi alivyo solve?
Pambana nao tu mkuu tena akipokea usiwe mpole huy jamaa nikawaida yake mi alishawah kunisumbua two days alikpokuja kupokea sim nilimmind kinoma ndani ya second kadhaa akaniwekea pesa yanguSijawahi kuona kampuni ya kipuuzi kma Mlipa yaani wana utoto kweye pesa za watu, inawezekanaje simu ya custormer care ina zimwa? kwnn wasipokee watuelekeze nn kina endelea wanafanya biashara ya pesa za watu alf wanachukila simple tu nme chukia sana hela yangu ndefu nmeahindwa ku bet tangu juzi ningekua nisha ingiza laki faida
Sijawahi kuona kampuni ya kipuuzi kma Mlipa yaani wana utoto kweye pesa za watu, inawezekanaje simu ya custormer care ina zimwa? kwnn wasipokee watuelekeze nn kina endelea wanafanya biashara ya pesa za watu alf wanachukila simple tu nme chukia sana hela yangu ndefu nmeahindwa ku bet tangu juzi ningekua nisha ingiza laki faida
Asante hio number ckua nayo nlikua na ile ya kwenye site yao vp walikurejeshea mpesa au wali iweka 1xbet?Pambana nao tu mkuu tena akipokea usiwe mpole huy jamaa nikawaida yake mi alishawah kunisumbua two days alikpokuja kupokea sim nilimmind kinoma ndani ya second kadhaa akaniwekea pesa yangu
Waliweka 1xbet mkuuAsante hio number ckua nayo nlikua na ile ya kwenye site yao vp walikurejeshea mpesa au wali iweka 1xbet?