Nan tena huyo anakuletea maneno ya ajabu...? kwan wao hawajui hii n kama kamar kuna kupata na kukosaNyie watu nuksi sana, mkila hamlalamiki mkiliwa ndio mnakuja nimind inbox... Jamani namimi nafanya kuotea tu na sirudii kuwashirikisha tena maana sio kwa hiyo mitusi yenu.
Ila jamani niliwaambia hawezi poteza quarter zote nne na imetokea so ungejiongeza pia. Hata hivyo kama ulifuata zote faida bado unayo tena ya kutosha.
Mlionilalamikia wote samahani na mshikaji ambae umakua mstaarabu kwa kutambua hii ni kamali kuna kula na kuliwa poa sana.
Basi nitawapa possible moja la kurudisha hasara yenu na ndo mwisho wa kuwashirikisha.
TUWE NA SIKU NJEMA
Regards
Dionize N
Ndo mana ikaitwa kamar kuna kupata na kukosaNyie watu nuksi sana, mkila hamlalamiki mkiliwa ndio mnakuja nimind inbox... Jamani namimi nafanya kuotea tu na sirudii kuwashirikisha tena maana sio kwa hiyo mitusi yenu.
Ila jamani niliwaambia hawezi poteza quarter zote nne na imetokea so ungejiongeza pia. Hata hivyo kama ulifuata zote faida bado unayo tena ya kutosha.
Mlionilalamikia wote samahani na mshikaji ambae umakua mstaarabu kwa kutambua hii ni kamali kuna kula na kuliwa poa sana.
Basi nitawapa possible moja la kurudisha hasara yenu na ndo mwisho wa kuwashirikisha.
TUWE NA SIKU NJEMA
Regards
Dionize N
Nyie watu nuksi sana, mkila hamlalamiki mkiliwa ndio mnakuja nimind inbox... Jamani namimi nafanya kuotea tu na sirudii kuwashirikisha tena maana sio kwa hiyo mitusi yenu.

Kuna haja ya kuwapigia direct hao wazungu wa 1xbet ili wajue tatizo mm nshawapigi ikiwezekana wavunje mashirikiano na m lipaSijawahi kuona kampuni ya kipuuzi kma Mlipa yaani wana utoto kweye pesa za watu, inawezekanaje simu ya custormer care ina zimwa? kwnn wasipokee watuelekeze nn kina endelea wanafanya biashara ya pesa za watu alf wanachukila simple tu nme chukia sana hela yangu ndefu nmeahindwa ku bet tangu juzi ningekua nisha ingiza laki faida
Hivi hii handcap ndio huwa vipi@ wimicky maana naona kuna sometimes 1(6) na 2(-6) yaani ipo vipi hapo?
Watu wanafikiriaga faida tu,hawajui kuna hasara,Ukiacha kuendelea kupost mikeka yako hapa mkuu lengo lao litakuwa limefanikiwa, kuna watu hawapend kuona wengine wanatuma humu mikeka yaan wanachukia kwelkwel, tuna safar ndefu kwelkwel watz.
Nakushaur ndugu yan hao achana nao wala usiongee nao wala kuwa jibu sms we endelea na moyo wako ule ule leta mzigo sis tunaotaka tuna weka ....That onlyNyie watu nuksi sana, mkila hamlalamiki mkiliwa ndio mnakuja nimind inbox... Jamani namimi nafanya kuotea tu na sirudii kuwashirikisha tena maana sio kwa hiyo mitusi yenu.
Ila jamani niliwaambia hawezi poteza quarter zote nne na imetokea so ungejiongeza pia. Hata hivyo kama ulifuata zote faida bado unayo tena ya kutosha.
Mlionilalamikia wote samahani na mshikaji ambae umakua mstaarabu kwa kutambua hii ni kamali kuna kula na kuliwa poa sana.
Basi nitawapa possible moja la kurudisha hasara yenu na ndo mwisho wa kuwashirikisha.
TUWE NA SIKU NJEMA
Regards
Dionize N
Duh sorry mkuu, sijaweza kuamka yaani nmepishana na treni ya mshahara aiseeMkuu vipi
[emoji23][emoji23][emoji23]nililoweka miguu kwenye majiDuh sorry mkuu, sijaweza kuamka yaani nmepishana na treni ya mshahara aisee
Nyie watu nuksi sana, mkila hamlalamiki mkiliwa ndio mnakuja nimind inbox... Jamani namimi nafanya kuotea tu na sirudii kuwashirikisha tena maana sio kwa hiyo mitusi yenu.
Ila jamani niliwaambia hawezi poteza quarter zote nne na imetokea so ungejiongeza pia. Hata hivyo kama ulifuata zote faida bado unayo tena ya kutosha.
Mlionilalamikia wote samahani na mshikaji ambae umakua mstaarabu kwa kutambua hii ni kamali kuna kula na kuliwa poa sana.
Basi nitawapa possible moja la kurudisha hasara yenu na ndo mwisho wa kuwashirikisha.
TUWE NA SIKU NJEMA
Regards
Dionize N
Samahani mkuu, handcap hii inamaanisha nini mkuuu?
Hiyo ndo civilization mkuuMkuu tatu zote nilizozitoa zimeshinda... Nashukuru mkuu ka 50 hyo teh teh
Hahahah ila najua utakua umetembea vzr na mkuu WIMMICKY maana nmechek mambo yake yalikua saaaafi[emoji23][emoji23][emoji23]nililoweka miguu kwenye maji
WIMICKY , Kindly embu nipe darasa kidogo lakuuza mkeka naona apo umeset auto ama vipi maana 75,000 then sell 70,500 me nkijaribu inagoma! msaada please mkuu
Nilikuwa nimelala....Hahahah ila najua utakua umetembea vzr na mkuu WIMMICKY maana nmechek mambo yake yalikua saaaafi
Km mkeka unauzika wanaleta wao hiyo optionWIMICKY , Kindly embu nipe darasa kidogo lakuuza mkeka naona apo umeset auto ama vipi maana 75,000 then sell 70,500 me nkijaribu inagoma! msaada please mkuu