Mjina Mrefu
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 3,048
- 3,418
Nabet sana mkuuHuwa una bet football?
Handcap ya kawaida naifahamu ila hii ya 1 (15) ndo inanichanganyaPitia hata google mkuu kila kitu mbona kipoView attachment 927357
Hizi option huwa unatumiaNabet sana mkuu
Au hii ya 1(-15)Handcap ya kawaida naifahamu ila hii ya 1 (15) ndo inanichanganya
Nimejilipua tayri mkuu,
Basketball wana hesabu vikapu siyo magoal so hapo labda uulize vikapu maana yake Nini.. maana handcap unaifahamuHandcap ya kawaida naifahamu ila hii ya 1 (15) ndo inanichanganya
yes mkuu, yaani hapo mfano ya 1(-1) maana yake waHome team inaingia uwanjani ikiwa imeshapigwa goli mojaHizi option huwa unatumiaView attachment 927387
Anhaa, kwaiyo nikiona 1(-15) maana yake home team ishinde but baada ya vikapu 15 kuondolewa kwenye matokeo ya mwisho. right?Basketball wana hesabu vikapu siyo magoal so hapo labda uulize vikapu maana yake Nini.. maana handcap unaifahamu
Poa mkuuduuh xax hapo walikofikia n too much...
Hiv haya watu n kwamb hawana akili au n nin...? Yan kila day jambo hil linatokeo n kusumbua 2
#Sorry lkn
Njia za deposit zipo nying paleSorry wadau hivi hakuna njia nyingine ya Ku deposit bila kuwatumia hawa m lipa
Mkuu hii vp?Loss
Namba yao unayo? Wapigie ili wakwambie tatizo humu ndani utasaidiwa mawasiliano yao tu na si vinginevyowakuu mimi tangu juzi nimedeposit 1xbet kupitia m-pesa lakini mpaka leo siioni hela yangu kwenye akaunti yangu ya 1xbet na message ya m-pesa imethibitisha tayari na hela wamekata tatizo litakuwa ni nn? au bado matengenezo hayajakaa vyema
au putin kasepa....nazo..?
If we win we win together the same applies to the LOSS!Loss
Maelezo kidogo kwenye hizo online wallet mkuu jinsi ya kuzifungua. Na jinsi zinavyofunction i. e withdraw na depositNjia za deposit zipo nying pale
Kuna Visa
Fungua Acc bancAbc
Ama FNB ama Equity etc
Omba kadi ya Visa uweze kufanya izo online transaction
Ama fungua online wallet eg Skrill ama Nettler hakikisha ume verify taarfa zako una weza zitumia kwa ajili ya kufanya miamala iyo
Lastly una weza fungua PAYPAL kisha uka i link na CRDB bank kisha mambo yakawa mtelezo tu
M LIPA tupa kuleee
Online wallet eg Skrill una weza search google kisha uka fanya registration kama kawaida baada ya kua ume fanikiwa ku register anza taratbu za kuverifyMaelezo kidogo kwenye hizo online wallet mkuu jinsi ya kuzifungua. Na jinsi zinavyofunction i. e withdraw na deposit
ThanxOnline wallet eg Skrill una weza search google kisha uka fanya registration kama kawaida baada ya kua ume fanikiwa ku register anza taratbu za kuverify
Kwanza uta fund acc
Pili uta verify ID
Tatu uta verify location
Mwisho uta verify account ownership(umiliki)
Hakikisha una toa taarifa sahihii kama ni mtaa una ishi tandamti basi hakikisha kitambulisho utapo upload kioneshe una ishi tandamti baada ya kua na account ime kamilka una weza endelea na taratbu zingnezo
Muhimu pia kua na kadi ya moja ya izi bank
Crdb/equity/fnb/bancabc kwa ajili ya ku link once unapo taka kuamisha/kutoa pesa toka bank to skrill ama skrill to bank