Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

But kuliwa is at our own risk sio tena kuporomosheana mitus[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]huyo anayeporomosha mitusi hajui maana ya betting, kama anajiamini asingesubiri kufuata desa la mtu angejikunja mwenyewe ili akiliwa ajiporomoshee mitusi mwenyewe
 
Mwanangu wee tupia nyingine broo ndugu yako nishaliwa laki apa ata niirudishe tu iyo basi mkuu tafadhali cm zinakaa mkononi masaa yote kwa ajili ya notification yako broo fanya kweli ndugu yangu
[emoji23][emoji23][emoji23] hapana chezea kupigwa laki lazima utafute mbinu ya kumliga mrusi
 
Ukienda pupa na hiyo nyingine italiwa yote relax panga mikakati ya kurudisha pesa yako mdogomdogo maana hata kwa wimick kuna lost pia.
Mwanangu wee tupia nyingine broo ndugu yako nishaliwa laki apa ata niirudishe tu iyo basi mkuu tafadhali cm zinakaa mkononi masaa yote kwa ajili ya notification yako broo fanya kweli ndugu yangu
 
Ukienda pupa na hiyo nyingine italiwa yote relax panga mikakati ya kurudisha pesa yako mdogomdogo maana hata kwa wimick kuna lost pia.
Aaaah mkuu sawa kwa wamicky kuna loss lakini nadhani si kama zetu bob mimi gemu nikisema ili sasa ndo litanitoa basi nikitia mpunga mrefu lazima uondoke na na mrusi yani mi nakula stake ndogo ila stake kubwa naliwa mimi ata sijui kwanini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…