Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Aaaaaaaah mwanangu usinchekeshe broo kumbe tuko wote mamake nashangaa hii quarter imegeuka 1hf ya football yani sometimes mrusi ni mchawi
Yani apa tumbo joto na nimetia stake kubwa alafu naona awa watu wanaleta maajabu ya dunia mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…