Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji146][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji146][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 927732
Apa ndo mtu unagundua kuwa kumbe WAMICKY mpaka kaja kuwa master wa hii hemu kapitia mengi sana aseeyani kakwepa presha za kutosha kweli kweli daaaah imagine mtu umetia m5 ni hali gani wakati huu unakuwa nayo mazee
 
I real apreciate Wamicjy kwenye basketball umepitia mengi mzee baba hii ni zaid ya pressure
 
Ndugu ingia google tafuta app inaitwa 1exbet hii ndo master wa huu mchezo ukisha download rudi apa tupeane maujuzi maenhine chief op umenielewa kaka kwanza download iyo app
Naomba msaada namba ya m lipa
 
Mkuu huu ni uchawi broo tutupie izo ndoano bana mkuu sababisha ata mbili kiongozi eeeh mwenyezi Mungu akutie wepesi cha wewe kutoa msaada kwa wenzio ndugu
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…