Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

In play wahi hiyo quarter 3
Screenshot_20181109-175639.jpeg
 
Naonaa mambo safi saiziii 1xbet...[emoji91][emoji91] tuna deposit na kutoaaa mtonyoooo safii kabisaaaah
 
In play wahi hiyo quarter 3 View attachment 927784
Mkuu sijaanza bado kufuata hizi mambo zako, ila trust me nakufuatilia vizuri mno kujifunza kutoka kwako, na ninajifunza sana kutoka kwako.

Unaweza kuwa hufahamu umuhimu wako hapa kwenye huu uzi ila kusema kweli una umuhimu mkubwa sana.

Hakika umenipa inspiration kubwa sana ya kuacha kubet football na kuhamia kwenye basket. nina mtaji wangu wa 60,000, natumaini nitaukuza kutokana na mafunzo nayoyapata kwako na kwa wadau wengine humu

Hongera mkuu na usisote kutufunza. Zaid mkuu usisahau kushare na code ili tubet chap chap pale inapobidi ku kopi mkeka wako
 
Back
Top Bottom