Mmelo
Member
- Sep 25, 2015
- 59
- 28
Mm toka juzi hadi Leo bado au nakosea prosija nnNdio mimi apa tena sasa ivi na imefika bila kuchekewa
Mm toka juzi hadi Leo bado au nakosea prosija nnNdio mimi apa tena sasa ivi na imefika bila kuchekewa
Nimetumia mpesa japo siiamini sana ila imekubali mara nyingi jaribu kutumia tigo ao mlipa ni mazinguz sanaMm toka juzi hadi Leo bado au nakosea prosija nn
Yes me imekubalikuna aliye deposit 1xbet kupitia m-pesa leo na hela ikaingia kwenye akaunti?
Mimi hapakuna aliye deposit 1xbet kupitia m-pesa leo na hela ikaingia kwenye akaunti?
Sasa si wengine toka juzi bado na hiyo SMS ilirudi kwenye acc empty hadi nowNa sms hiyo hapo na akaunti yangu 1xbet salio linasomaView attachment 927911
Mmmh mi tayari akaunt inasoma na nimeshaweka ndoanoSasa si wengine toka juzi bado na hiyo SMS ilirudi kwenye acc empty hadi now
Samahani au kunakitu sikufuata nipe shule jinsi ya Ku depositMmmh mi tayari akaunt inasoma na nimeshaweka ndoano
Ukishaingia kwny kudiposit kule kwenye app, utaingia kwenye mobile payment then ikifunguka utajaza kama itakavyokulekeza,,ukimaliza utatumiwa ujumbe then utaingia menyu ya mpesa, nenda option namba 4, then namba 4 tena, kisha ingiza namba ya kampuni 400700 then namba ya biashara ni 00800gb, kisha kiasi kile ulichojaza kwenye app ya 1xbet kisha utamalizia kama utakavyokuelekeza,,kazi ni kwako mkuu!!Samahani au kunakitu sikufuata nipe shule jinsi ya Ku deposit
Thanks kiongoziUkishaingia kwny kudiposit kule kwenye app, utaingia kwenye mobile payment then ikifunguka utajaza kama itakavyokulekeza,,ukimaliza utatumiwa ujumbe then utaingia menyu ya mpesa, nenda option namba 4, then namba 4 tena, kisha ingiza namba ya kampuni 400700 then namba ya biashara ni 00800gb, kisha kiasi kile ulichojaza kwenye app ya 1xbet kisha utamalizia kama utakavyokuelekeza,,kazi ni kwako mkuu!!
Hio refrence number kla mtu ana yakeUkishaingia kwny kudiposit kule kwenye app, utaingia kwenye mobile payment then ikifunguka utajaza kama itakavyokulekeza,,ukimaliza utatumiwa ujumbe then utaingia menyu ya mpesa, nenda option namba 4, then namba 4 tena, kisha ingiza namba ya kampuni 400700 then namba ya biashara ni 00800gb, kisha kiasi kile ulichojaza kwenye app ya 1xbet kisha utamalizia kama utakavyokuelekeza,,kazi ni kwako mkuu!!
Ooh kumbe?! Nilijua zinafanana shukurani kwa ufafanuziHio refrence number kla mtu ana yake
5K751SHCI5T Imethibitishwa. Tsh9,000.00 imetumwa kwa M LIPA kwenye akaunti namba 008009b tarehe 7/11/18 saa 11:55 AM. salio lako la M-Pesa ni Tsh97.50. SMS waliyo nirudishia hii aiseeOoh kumbe?! Nilijua zinafanana shukurani kwa ufafanuzi
Hapo watafute m lipa watakusaidia5K751SHCI5T Imethibitishwa. Tsh9,000.00 imetumwa kwa M LIPA kwenye akaunti namba 008009b tarehe 7/11/18 saa 11:55 AM. salio lako la M-Pesa ni Tsh97.50. SMS waliyo nirudishia hii aisee
Sure! Ushauri mzuriHapo watafute m lipa watakusaidia
Kuna namba napiga hawapokei Mara ipatikane mda mungine haipatikani aiseeHapo watafute m lipa watakusaidia