Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Uuuh!! Hatimae,,utafikiri unamsubiri dokta na majibu ya damu[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 927719
Webwama iz stake zako unatusumbua sana umu jukwaani cjui umetokea wapi ww yani unatuwekea vi mia3 kila sekunde sasa cc za nn ata changamoto azitupi
Acha kaushamba ako em tulia cjui nani kakufundisha kubet ad umekuwa msumbufu iv
 
Naona unanitafutia ban mkuu. Kwani kuna mtu kakuita huku? Hebu achana na mimi
 
Inplay
Screenshot_20181109-213759~2.jpeg
 
Sungusungu na mwenzio kid kudi jibizaneni kwa njia ya inbox zenu(pm) hili jukwaa ni kushusha mikeka na mbinu za ushindi tu sio hayo malumbano yenu.
Sibishani tena mkuu huo muda ntaufanyia utunishaji wa kibubu changu
 
Njia za deposit zipo nying pale
Kuna Visa
Fungua Acc bancAbc
Ama FNB ama Equity etc
Omba kadi ya Visa uweze kufanya izo online transaction

Ama fungua online wallet eg Skrill ama Nettler hakikisha ume verify taarfa zako una weza zitumia kwa ajili ya kufanya miamala iyo

Lastly una weza fungua PAYPAL kisha uka i link na CRDB bank kisha mambo yakawa mtelezo tu

M LIPA tupa kuleee
M LIPA si ni ya Voda mkuu na ndio inayoleta mushkeli! Wale wa Tigo tunatumia Beyonic ni chap kwa haraka yani unalogin unaikuta hela yako!
 
M LIPA si ni ya Voda mkuu na ndio inayoleta mushkeli! Wale wa Tigo tunatumia Beyonic ni chap kwa haraka yani unalogin unaikuta hela yako!
Hata mm natumia line zote za voda na tigo lakin voda hawamiliki kampuni yoyte zaid ya Mpesa

M lipa ipo chini ya kampuni ina itwa Data Vision wana products( PRODUCTS – DataVision )nying tu jarbu kugoogle uta pata info

Vile vile nazan umesema ipo chin ya voda kwa kua umeona ime anza na neno M hapana haiko ivo same case watu walikua wanajua M bet n ya voda No voda hamilik kampuni yoyote ana huduma moja tu ya Mpesa hao wengne wote wanaitwa Billers
 
Back
Top Bottom