Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu sijaanza bado kufuata hizi mambo zako, ila trust me nakufuatilia vizuri mno kujifunza kutoka kwako, na ninajifunza sana kutoka kwako.

Unaweza kuwa hufahamu umuhimu wako hapa kwenye huu uzi ila kusema kweli una umuhimu mkubwa sana.

Hakika umenipa inspiration kubwa sana ya kuacha kubet football na kuhamia kwenye basket. nina mtaji wangu wa 60,000, natumaini nitaukuza kutokana na mafunzo nayoyapata kwako na kwa wadau wengine humu

Hongera mkuu na usisote kutufunza. Zaid mkuu usisahau kushare na code ili tubet chap chap pale inapobidi ku kopi mkeka wako
Shukuru kidogo aiseee manake asije fungiwaaa[emoji24][emoji24][emoji24]
 
In play wahi hiyo quarter 3 View attachment 927784
Mungu akupe uzima,
Asante sana kwa mchango wako mkubwa mpaka kufanikisha haya mazuri
Screenshot_20181109-185336.jpeg
 
Nimejaza mafuta cha kushangaza wale nilitaka kushindana nao wamevapour
 
kuna aliye deposit 1xbet kupitia m-pesa leo na hela ikaingia kwenye akaunti?
 
Back
Top Bottom