Sungusunguu
JF-Expert Member
- Aug 4, 2018
- 1,280
- 998
Wale na wachinaa hawafai aisewDaah game za Japan zimeniua
Pole sana mkuu ila kwenye hii industry tegemea vyote kupiga na kupigwa vile vileeeDaah game za Japan zimeniua
Sijui nifanyeje ikija tu niipate ii tena imenipita
Watu wanapiga pesa hapa kupitia basketball, unangoja nini?Void uko wap naomba tutafute game moja yauhakika nijitose nirydishe pesa yangu tutafuta ata over1 moja mkuu
Mkuu tayar nishapigwa nataka game ya uhakika nirudishe elaWatu wanapiga pesa hapa kupitia basketball, unangoja nini?
Aisee nimepishana na maburungutu kwa kuchelewa kudipozit.
Sasa hivi chombo nimekijaza wese la kutosha ni mwendo wa kukimbizana na codes tu
Sio wote wanatumia hiyo 1xbet msiwe selfishUwe unatupia kwa njia hii mkuu hapo utakua umemaliza kazi itabaki kwetu
Mkuu hakuna neno. Tuma tu hivo hivo. Tukipata tukikosa freshiNimegundua nikituma hivi NI rahisi Sana huwa nataman kila mtu apate ila ikiwa loss sijui mnakubali msiwe mnakasirika eeeh jamani ndo kazi tuliyochagua
Kweli na sie tusiopenda kukumbana na hizo stress za huko 1xbet sijui mlipa huwa tunapatia hapoYeah,,,changamoto ya code ni kubwa kuliko game yenyewe ikipostiwa, hata ukiichelewa utaokota odd kadhaa, ila codes hukuti chochote, waumini wa codes wenyewe waliokuwa wanazitaka sana siwaoni sahivi
Sawa kiongozi umeeleweka nilisema hivyo maana jamaa wamicky ni mdau wa 1xbetSio wote wanatumia hiyo 1xbet msiwe selfish
Nimewahi siti