Kumekucha kaweke pesa tena m pesa/tigo pesa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkuu walichonifanyia gsw sitakirudiaa tena mmenishawishi niweke stake kubwa hapa nimebaki mweupeee daaaah acha niendelee na 3 zangu
Kumekucha kaweke pesa tena m pesa/tigo pesa
Mkuu mimi pia nilikua kama wewe ila kupitia void na wimicky nilijikuta natamani kujua siri,,siri ni kuchek game inaendaje then unatupia ndoanoMpaka kufikia hapa,kwakweli hongera sana mkuu, umeshakuwa mzoefu tayari..I mean sina wasiwasi na wewe kabisaa yan hata ukidondosha Code au screenshot hapa kwenye jukwaa napita nayo nduki.
Ushauri wangu brother, muda huu so wa kucheza mwenye then unakuja kutuandikia,...“aiseeeee” inakuwa haipendezi
Tugawie na sisi ili tufurahi pamoja mkuu
Ni hayo tu.
Hivi jina lako ni Isaya?Perssure imepanda boss
No why??Hivi jina lako ni Isaya?
Ozzy isayahNo why??
Ozzy isayah
uzuri wa basket kwa over tu unaweza ukala quater 3 ukaliwa moja ambayo still unabaki na faida kama umewekeza mtaji fixed!sasa ngoja nisubir game za saa tisa mzee baba haina kulala basketball ndo shamba letu kwa sasa
Ni kweliuzuri wa basket kwa over tu unaweza ukala quater 3 ukaliwa moja ambayo still unabaki na faida kama umewekeza mtaji fixed!
We umecheza qtr ya ngapi? Qtr ya tatu huwa wanaingiaga sub mastaa wanapumzika ya 4 huwa ndio wanarudi court![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkuu walichonifanyia gsw sitakirudiaa tena mmenishawishi niweke stake kubwa hapa nimebaki mweupeee daaaah acha niendelee na 3 zangu
Nitashukuru sana kiongozSawa MKUU nimeelewa tegemea ujumbe Wang!!!..
Niliweka ya 4 ilikuwa na codesza kufgha mtuWe umecheza qtr ya ngapi? Qtr ya tatu huwa wanaingiaga sub mastaa wanapumzika ya 4 huwa ndio wanarudi court!
Stake ikapigwa?Niliweka ya 4 ilikuwa na codesza kufgha mtu
Ndo nakwambia hapa haki ya pressure yangu haijulikan kuwa imepanda ua imeshuka,mzigo wa ela[emoji23]Stake ikapigwa?
Habari mkuu, unatumia option gani?Hadi raha yaani! Nina muda mrefu sana sijaona ile alama ya loss. Maisha mepesi tu!View attachment 929396
Hahaahah pole sana mkuu, usikate tamaa hio ndio kwenye ujasiriamali tunaita persevereance! Unakaza tu mambo yatakuwa poa ila ushauri next time you wanna stake big kata nusu ya mtaji! Usiingie gemu ya kwanza pap na laki moja ikiliwa unaeza okota makopo!Ndo nakwambia hapa haki ya pressure yangu haijulikan kuwa imepanda ua imeshuka,mzigo wa ela[emoji23]
Usiongee boss..im total out of my comforty zoneHahaahah pole sana mkuu, usikate tamaa hio ndio kwenye ujasiriamali tunaita persevereance! Unakaza tu mambo yatakuwa poa ila ushauri next time you wanna stake big kata nusu ya mtaji! Usiingie gemu ya kwanza pap na laki moja ikiliwa unaeza okota makopo!
Hongera mkuu,,, cha ajabu atakaye iga hii style lazima alieHadi raha yaani! Nina muda mrefu sana sijaona ile alama ya loss. Maisha mepesi tu!View attachment 929396