Hata nami nimeongea na vodacom wakaniambia wao ndiyo system yao haiko sawa wanaishauri niwe mpole na ndiyo hivyo tunapishana na Mrusi sasa
Niko princess bet in play basketball wanaweka wanazotaka waoHata nami nimeongea na vodacom wakaniambia wao ndiyo system yao haiko sawa wanaishauri niwe mpole na ndiyo hivyo tunapishana na Mrusi sasa
hiyo princess tamu sasa??Niko princess bet in play basketball wanaweka wanazotaka wao
Kuna siku jamaa alikuwa anawalalamikia M-LIPA, na 1xbet...Sasa ndio nimeanza kuwaelewa! Ni nimetoa 245k trh 6 , mpk Sasa chafu.. nikaamua kuweka 70k juz mpk Sasa chafuu! Nimewapigia M-LIPA, wakanipatia namba nyingine tofaut, nimeipiga wanakataa tuu mpk sasa! Daah aiseeeeee!!
Nimekosea mkuuu?Hahahahahahahah huyu jamaa wakujibu maswali
Shukrani sana022 270 1845 hiyo hapo.
Kipindi chenye magoliii Mengii katika vipindi vyote vinneHIGHEST SCORING PERIOD APA AWA JAMAA WANA MAANISHA NINI ASEE NIELEKEZWE View attachment 931103
uliwapiga sh ngapi na je umeshafanikiwa kitoa?Kwa kutumia namba ya simu
Duh nmechati na customer service Wao wanasemaDaah hawa 1xbet wametoa system ya mobile payment ni shidaa nashindwa kuingiza mtonyo